The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Unapimaje maneno kwenye utani wa mpira wewe? yeye chacha alikuwa anaongea kama mshabiki akajibiwa kishabiki siyo kama RC. Baada ya kujibiwa akavaaa koti la U- RC yale yale ya nkurunzinza ANACHEZA MPIRA NA WENZAKE HATAKI KUKABWA
Itakuwaje kama by raisi alimaanisha Karia?Ile kauli ya kusema "Rais, Huyu Mtu wake aliyemtuma huku anatuchokonoa" ilikua na ukakasi mkubwa sanaa. Naona kijana alikua anakosoa teuzi ya Rais.
Hawa wasemaji watajifunza kuchunga ndimi zao
SureKama mkuu wa mkoa ameamua kuwa shabiki wa soka then avumilie changamoto zake otherwise abakie na majukumu yake ya kiserikali
Hao watu wenye majina ya Marwa, Chacha huwa wanaongozwa na mihemko sana .Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora.
Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.
Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum.
RPC Tabora amethibitisha
“Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa kauli mbaya dhidi ya viongozi wa Serikali, tunaendelea na mahijiano nae na tutatoa taarifa,” Richard Abwao - Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora.
View attachment 3291894
==================
Polisi Mkoani Tabora imethibitisha kumshikilia Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe.
Kamanda wa Polisi Tabora Richard Abwao amethibitisha kushikiliwa kwa Ali Kamwe na Polisi huku tuhuma zake zikitajwa ni kutoa lugha chafu kwa viongozi wa Serikali.
Kamwe alikuwa na timu yake ya Yanga Tabora kwa mchezo dhidi ya Tabora United ambayo ilimalizika jana kwa Yanga kushinda mabao 3-0.
Kabla ya Mchezo Kamwe anatajwa kuzozana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Paul Matiko Chacha katika kile kilichotajwa kuwa alikuwa akijibu alichosema RC huyo kuwa Yanga wamekuja na kiherehere mkoani mwake.
Ali kamwe ni raia na rais ni mwajiriwa wa raia wa nchi husika je kama raia anakosa haki ya kutoa maoni na malalamiko kwa mwajiriwa wake ambae ni Rais!!Eti wanaojua sheria😂😂 Unamwambia Rais huyu mtu wake aliemtuma huku anatuchokonoa.
Kuna muda hawa wasemaji wanaona wako juu ya sheria kisa ujinga wa mashabiki wao,
Hayo maneno kwamba Rais ni mwajiliwa utayasikia kwenye Kampeni tu,ila kwa uhalisiaAli kamwe ni raia na rais ni mwajiriwa wa raia wa nchi husika je kama raia anakosa haki ya kutoa maoni na malalamiko kwa mwajiriwa wake ambae ni Rais!!
Mimi nadhani hawa Wakuu wa Mikoa wanatakiwa kuwa na mipaka, wao ni walezi wa timu, basi wabakie kuwa walezi wa timu,wasijiingize kuwa wasemaji wa timu! Klabu zina viongozi wake ,wabakie na majukumu yabkuisemea timu kwenye mambo ya utendaji ya kila siku ya timu, inavyo tokea Mkuu wa Mkoa akaacha majukumu yake ,akaamua kuwa msemaji wa timu, inatakiwa ajue kwamba atajibiwa kama msemaji wa timu sio Mkuu wa Mkoa ,atazodolewa kama wasemaji wa timu wanavyo zodoana, kama anadhani hataki kudhalilishwa nasi abaki katika nafasi yake ya ukuu wa Mkoa akiamua kujishusha kuwa msemaji wa timu akubaliane na atakayo kutana nayo kama msemaji wa timu!Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora.
Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.
Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum.
RPC Tabora amethibitisha
“Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa kauli mbaya dhidi ya viongozi wa Serikali, tunaendelea na mahijiano nae na tutatoa taarifa,” Richard Abwao - Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora.
View attachment 3291894
==================
Polisi Mkoani Tabora imethibitisha kumshikilia Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe.
Kamanda wa Polisi Tabora Richard Abwao amethibitisha kushikiliwa kwa Ali Kamwe na Polisi huku tuhuma zake zikitajwa ni kutoa lugha chafu kwa viongozi wa Serikali.
Kamwe alikuwa na timu yake ya Yanga Tabora kwa mchezo dhidi ya Tabora United ambayo ilimalizika jana kwa Yanga kushinda mabao 3-0.
Kabla ya Mchezo Kamwe anatajwa kuzozana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Paul Matiko Chacha katika kile kilichotajwa kuwa alikuwa akijibu alichosema RC huyo kuwa Yanga wamekuja na kiherehere mkoani mwake.
Wakuu wa mikoa na wilaya waziache timu za mpira zijitegemee. Ushawahi kusikia mkuu wa Dsm kaishabikia simba au Yanga dhidi Costal unioni?Nadhani hapo ndipo alipojichanganya kufananisha uhuru uliopo majuu na hapa bongoland
Hii ni tz jamani sio majuu
Kama ni kweli utakuwa ni uonevu live. Mbona yeye hajalamatwa na kuhojiwa na Takukuru issue ya wachezaji wake kupokea sms za miamala ya fedha ili wacheze chini ya kiwango?Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora.
Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.
Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum.
RPC Tabora amethibitisha
“Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa kauli mbaya dhidi ya viongozi wa Serikali, tunaendelea na mahijiano nae na tutatoa taarifa,” Richard Abwao - Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora.
View attachment 3291894
==================
Polisi Mkoani Tabora imethibitisha kumshikilia Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe.
Kamanda wa Polisi Tabora Richard Abwao amethibitisha kushikiliwa kwa Ali Kamwe na Polisi huku tuhuma zake zikitajwa ni kutoa lugha chafu kwa viongozi wa Serikali.
Kamwe alikuwa na timu yake ya Yanga Tabora kwa mchezo dhidi ya Tabora United ambayo ilimalizika jana kwa Yanga kushinda mabao 3-0.
Kabla ya Mchezo Kamwe anatajwa kuzozana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Paul Matiko Chacha katika kile kilichotajwa kuwa alikuwa akijibu alichosema RC huyo kuwa Yanga wamekuja na kiherehere mkoani mwake.
Kama wanajijua wao ni wateule wa Raisi na wanahitaji kuheshimiwa wasijiingize kwenye mambo ya mipira . Huku watuache wenyewe tunovumiliana.Madogo mkishapata hela ya kununua smartphone na kuweka Bundle basi mnajifanya wanasheria
Ali kamwe kavunja sheria kwa kutoa maneno ya chuki na kudharau uteuzi wa Rais ambayo ni mamlaka halali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Hiyo ni Nia ya kufanya uchochezi na ni jinai kwa mijibu wa Section 55(a) Cap 16 R.E 2022
Alivyokumbatiana na RC alijua yameisha kumbe Dola iko pale pale.Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora.
Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.
Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum.
RPC Tabora amethibitisha
“Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa kauli mbaya dhidi ya viongozi wa Serikali, tunaendelea na mahijiano nae na tutatoa taarifa,” Richard Abwao - Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora.
View attachment 3291894
==================
Polisi Mkoani Tabora imethibitisha kumshikilia Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe.
Kamanda wa Polisi Tabora Richard Abwao amethibitisha kushikiliwa kwa Ali Kamwe na Polisi huku tuhuma zake zikitajwa ni kutoa lugha chafu kwa viongozi wa Serikali.
Kamwe alikuwa na timu yake ya Yanga Tabora kwa mchezo dhidi ya Tabora United ambayo ilimalizika jana kwa Yanga kushinda mabao 3-0.
Kabla ya Mchezo Kamwe anatajwa kuzozana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Paul Matiko Chacha katika kile kilichotajwa kuwa alikuwa akijibu alichosema RC huyo kuwa Yanga wamekuja na kiherehere mkoani mwake.
Yule Nyamitako Bashite alikuwa anaishabika Simba tena bila kifichoWakuu wa mikoa na wilaya waziache timu za mpira zijitegemee. Ushawahi kusikia mkuu wa Dsm kaishabikia simba au Yanga dhidi Costal unioni?
Tujikumbushe tena ulimi wa dogo ulivyo fanya....HATIMAYE ALLY KAMWE SHAABAN AMEACHIWA HURU.
VIJANA MNA MENGI YA KUJIFUNZA.
ULIMI NI KAA LA MOTO.
UTUMIENI ULIMI VIZURI NI KIUNGO KIDOGO SANA CHENYE MADHARA MAKUBWS SANA.
BIBLIA INAFANANISHA ULIMI NA NJITI YA KIBERITI YENYE UWEZO WA KUTEKETEEZA PORI KUBWA SANA.
Huyu kakosa malezi ya Baba.kuwakashfu wanaume wakubwa kama Mgunda na huyu Mkuu WA Mkoa nafikiria anapata faraja Sana na kufidia maumivu na kuachwa na Baba. Ni tatizo la kisaikilojia asaidiwe. MTU mwenye Baba Kwa namna YOYOTE Ile hawezi kumfananisha MTU mwenye umri WA Baba yake na 'andazi'. Mashabiki WA Yanga endeleeni kumpa kichwa😔Ile kauli ya kusema "Rais, Huyu Mtu wake aliyemtuma huku anatuchokonoa" ilikua na ukakasi mkubwa sanaa. Naona kijana alikua anakosoa teuzi ya Rais.
Hawa wasemaji watajifunza kuchunga ndimi zao
Ali Kamwe ana tatizo la kisaikilojia ni WA kumsaidia.😔. Waliomzunguka ambao ni mashabiki wanasema hajafanya kosa ndio wanaompa kichwa.Vijana hawana nidhamu kabisa
Kwani rais ni Mungu asiyekosea?Ile kauli ya kusema "Rais, Huyu Mtu wake aliyemtuma huku anatuchokonoa" ilikua na ukakasi mkubwa sanaa. Naona kijana alikua anakosoa teuzi ya Rais.