'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi Tabora yathibitisha kumshikilia

Ile kauli ya kusema "Rais, Huyu Mtu wake aliyemtuma huku anatuchokonoa" ilikua na ukakasi mkubwa sanaa. Naona kijana alikua anakosoa teuzi ya Rais.
Hawa wasemaji watajifunza kuchunga ndimi zao
Hapo hakuna kosa. Ni kweli alikuwa anawachokonoa kwa kuhamasisha timu kwa kauli kuwa wana kihelehele
 
Hapo kosa lake ni nini?
Ndio maana hawezi kumpeleka mahakamani
 
Hakukuwa na sababu ya kumkamata msemaji wa yanga. Mkuu wa mkoa mwenyewe aliingia kichwakichwa kishabiki, akajibiwa firmly instant na msemaji wa yanga. Angeacha hiyo ngoma ichezwe na msemaji wa timu yao
 
Huyu dogo tangia amkane na kumkejeli baba yake ni mwendo wa matukio tu mpaka aombe msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…