Kamera za ulinzi kufungwa Kariakoo kwa gharama ya Tsh Milioni 514

Duuh aiseee
 
Because of their glut and selfishness they over feed on the loot of our taxes and after being constipated they vomit on our shoes. They must go!
 
Kilaza ni mke wako anaejilaza na kukutagashia watoto. Unasikia ww mzee.

Nakwambia uWeke hizo gharama, hutaki, hujui, unakuja na porojo na kejeli. Sijui umetoa wapi hasira, CHADEMA wamekutosa nn?
 
Shida hamjajua aina gani za camera zitafugwa.watu mnazani hizi dau au hikvision kuna camera za barabrani zinatumia fiber optic connectivity na ni intellegent camera zipo expensive sana
 
Kuna watu humu ndani naona wanatetea huu wizi watanzania inshort tumesoma mkiiba tunajua.
Mnadhani sisi Gen Z mtatudanganya nini.
Mengi yamesema kuwa watu wanaiba For example msalato mtu kaongeza kibunda chake alafu kuna mtu anatokea kusema upuuzi na kutetea wizi.

Tuliosoma Computer science tunaelewa hivyo vitu vinaendaje kula siku tunafanya hivyo vitu.
 
Nimegundua sisi wazalendo na wafia nchi sio kila post lazima uchangie... utaishia kutukana watu usiowajua tu...

All The Best!!
 
Mitaa mingi ya uhindi,kisutu, Libya Street nk wDosi wamefunga wenyewe

Ova
Ni kweli cctv ni muhimu sana kwa ajili ya usalama
Ila hizi 40 kwa hela zote hizo ni kweli?
Au ni Ai zinatabiri yajayo mkuu
 
Mkuu salam kwako.
Mkandarasi : TEMESA (Taasisi ya Serikali)
Scope ya Kazi
Kusimika mfumo au Mifumo ya Kamera za ulinzi +Kununua Kamera +kufunga Kamera za Ulinzi etc
My take
Ijapo TEMESA ni taasisi ya Serikali lakini hawafanyi hiyo kazi bure.Ingekuwa busara kuomba ufafanuzi wa matumizi ya kiasi cha pesa kilichotajwa kuliko kutoa lawama.
Ahsante
 
Inasikitisha mno.

Mtumishi wa uma unapokesha mitandaoni kuisema serikali.
 
Inasikitisha mno.

Mtumishi wa uma unapokesha mitandaoni kuisema serikali.
UMMA ni Serikali au Wenye Nchi (Wananchi) ? And if that the case kusema upuuzi wowote kama una athari ya Kodi ya Mwananchi huoni hapo mtumishi huyu atakuwa anafanya his / her civic duty ?
 
Unavosema wanapiga Hela je Umeona huo mkataba, Unajua specification za izo Camera.
Acheni Ujuaji Vijana mbona kuna simu ya elfu 10 na ipo ya Milioni 6 na hamshangai.
 
Mambo ya kiserikali procurements sjui nini si unajua tena πŸ˜„
Kikubwa wazifunge huko

Ova
Labda hilo ni fungu la pamoja kuanzia camera ukarabati, wasimamizi, wa kuzima kwenye dharura
Yaani yote hayo ndio inakuja hiyo hela
 
Mpuuzi wewe, unajua hizo kamera ni za viwango gani?. Milioni 514 unaona ni pesa nyingi sana?. Punguza malalamiko ya kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…