Kamera za ulinzi kufungwa Kariakoo kwa gharama ya Tsh Milioni 514



Camera 40 Kwa milion 500+? Kweli?
Inabidi watupe specs tujue
 
Hapo tumepigwa
 
Hivi set Moja ya camera ni shilingi ngapi?Inaonekana kama tumepigwa
 
CCM wana vyanzo vingi sana vya pesa hizo milioni 514 ni ndogo kwa mfumo wenye ujanja wa kila aina wa kuiba.
 
Kamera 40 kwa milioni 514?

Hiyo kazi inaweza fanywa kwa milioni 60 tu. Hapo inamaanisha zaidi ya Milioni 400 za walipakodi zinaibwa.
Kwanini inaweza kufanywa kwa M60 na si M500?
 
Ukibanwa kende lazima ukimbilie matusi.

Weka hapa breakdown inayoonesha wizi wewe nyumbu
Breakdown gani unayotaka wakati umeshaambiwa gharama ya Camera hata ziwe na twknolojia gani haiwezi kufika hata Mil 50.

Ni mimi napaswa kuleta breakdown au hao wanaosema Mil 514 ndo wanapaswa kuleta breakdown ku justify gharama zao?

Sasa nikisema huna akili nakosea wapi?

Angalia bei za traffic CCTV camera hizo hapo from Alibaba👇

 
Kwanini inaweza kufanywa kwa M60 na si M500?
Kwa sababu kwa mujibu wa Page maarufu ya Alibaba gharama za Traffic CCTV camera 1 tu haifiki hata laki 7

Sasa ukiweka gharama kila kitu na ufundi kwa Camera 40 hardly hata Mil 50 ni nyingi sana.
 
Reactions: Tsh
Camera 40 au 400..?
Yaani camera 40 ndio waweke na press na makamera juu..!..mmh.
 
Kulinda umoja na amani kwa kuliibia Taifa? Kweli mpo vizuri. Kamera 40 tu kwa Milioni 514?

Kweli CCM mpo vizuri kuliibia Taifa.
Hivi gharama za kuendesha Mkutano Mkuu wa Chadema zilikuwa sahihi? Unaweza ukatuthibitishia?
 
Dunia sasaivi ni kijiji
Tuambie hapa ni Camera zipi zenye telnolojia ipi? Tunaweza hata ku Google hapa na kupata gharama yake.
Upo sahihi, dunia ni kijiji, ila walakini upo kwako.

Ww ndie uliekurupuka na kutuambia 'Kuna Wizi'

Ww ndio ulete ushahidi huo wa kuibiwa.

Ww hizo camera zako za CCTV arobaini zisizofika millioni TShs 500 ni zipi?
 
Kwa sababu kwa mujibu wa Page maarufu ya Alibaba gharama za Traffic CCTV camera 1 tu haifiki hata laki 7

Sasa ukiweka gharama kila kitu na ufundi kwa Camera 40 hardly hata Mil 50 ni nyingi sana.
View attachment 3240996
Mkuu, upo sahihi, harufu ni kali sana ya upigaji, ila sasa hizi bado ni siasa maana serikali haifanyi manunuzi Alibaba, ina taratibu na yule anayeshinda ndo anapewa tenda.

Embu fanya kama vile unaomba Tenda, tutumie quotation mpaka mradi unakamilika ungetumia kiasi gani na kwanini.

Lord denning camera Ltd. (Ldc)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…