Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

Angeuliza kabla ya kwenda kufumania ingekuwa na maana zaidi kuliko Sasa ikiwa ni baada ya

Ningemwambia asithubutu kwenda kufumania.
 
Fumania ukiwa na utayani wa kuachana u-sepe żako na kwenda kujitegemea,

Kama sivyo usitake kujua alacho bata, usifukunyue mambo .

Kama kaenda kufanya mbali amekuheshimu.
 
Piga chini

Ukimsamehe utakuwa umefanya kosa kubwa sana. maana utakuwa umempa go ahead kwa next time.

Manake ni kwamba atakutenda vibaya zaidi ya hiyo awamu ya kwanza

Jiandae Kwa maumivu zaidi
 
ACHA ROHO MBAYA
 
Nawajua wanawake ni lazima ipo siku atalipiza kisasi
 
Piga chini

Ukimsamehe utakuwa umefanya kosa kubwa sana. maana utakuwa umempa go ahead kwa next time.

Manake ni kwamba atakutenda vibaya zaidi ya hiyo awamu ya kwanza

Jiandae Kwa maumivu zaidi
uuuwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…