Kamishina wa mchezo na Meneja wa uwanja hawafahamu kanuni? au walishindwa vipi kuwasiliana ili Simba wafanye mazoezi?? Kuna kitu hakipo sawa.

Tukiacha ushabiki wa Simba na yanga.


Hizi Timu ni km kurwa na doto wanajuana vizur sana..

Kwa ufupi washazidiana nje ya uwanja ndomana ziatafutwa sababu na kila Timu inavutia kwake na kuona wapo sahihi.


Simba na yanga kuloga sio jambo jipya.
Hapo mmoja kaloga Kisha kamzuia mwenzake asiloge ilo ndo tatzo..
 
Hahaha una hoja
 
Hiyo culture uchwara umeitoa wapi, derby iliyopita Yanga walikagua uwanja vzr na mazoezi wakafanya
Kwan timu ikinyimwa nafasi ya kufanya mazoezi ndo haipeleki timu uwanjani? Ndo kanuni zinasema hivo au? Nauliza tu kujua
 
Kabisaaa
 
Najiulizahvi simba angecheza na Mburahati queins na Mburahati queins wangefanya kama wanavyodai kuwa meneja wauwanjakawazingua natimuhaipeleki uwanjani je ingekuwa Mburahati guein wasingepekeja timu uwanjani?
 
Nimeilewa ndiyo kama kweli juzi walifanya mazoezi katika huo uwanja sioni sababu za wao kugomea mechi
Kwani wangeruhusiwa kufanya kesho kungekuwa na shida gani kabla ya mengine
 
Kwahiyo Meneja hafati Kanuni, yeye anaishi na 'Culture' tu sio?
 
Huu ni uongo Derby iliyopita Yanga kama mgeni alipata fursa ya kufanya mazoezi na Deberby ya mzizima Azam kama mgeni alipata fursa ya kufanya mazoezi iweje kwa Simba iwe tofauti??
Wangeruhusiwa kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi usingeona Simon Patrick analalamikia kunyimwa hiyo nafasi.

Pili mngekuwa na uwezo wa kuambatanisha link, video au picha ikionesha Yanga wakifanya mazoezi uwanja wa Mkapa siku moja kabla ya mchezo, ila mnabaki kusema tu walipewa fursa leteni uthibitisho mnashindwa.
 
Na Nyie leteni link kuonesha alinyimwa hio fursa
 
Mkuu hivi tukiweka ushabiki pembeni, simba ana ugeni gan hapo kwa mkapa?

Ni mgeni wa uwanja au mgeni wa mchezo? Kiuhalisia

Je ni sawa kutopeleka timu uwanjani kisa kunyimwa nafasi ya kufanya mazoezi? Ndo kanuni zinasema hivi
 
Kwani wangeruhusiwa kufanya kesho kungekuwa na shida gani kabla ya mengine
Kosa la kwenu wenyewe Simba je baada ya kufanya mazoezi siku ya Alhamisi, mlitoa taarifa kwa meneja wa uwanja kuwa mtautaka tena uwanja kumalizia mambo yenu? Hamkutoa taarifa na ndio maana meneja wa uwanja kasema hana maelekezo kama kuna watu watakuja kuutumia uwanja muda huo kwavile wahusika walijua mmeshamaliza jambo lenu la kikanuni siku ya Alhamisi baada ya kufanya mazoezi katika uwanja huo wa Mkapa.
 
Na Nyie leteni link kuonesha alinyimwa hio fursa
Simba na Yanga siku zote zinaenda uwanjani siku ya mechi tu wala hakujawahi kuwa na habari za kufanya mazoezi katika uwanja huo. Yanga mazoezi ya mwisho atafanyia huko huko kwake na Simba huko huko kwake pale watakutana siku ya mechi. Simba katafuta choko choko ya kukimbia mechi kaipata. Unapewa uwanja siku ya Alhamisi tofauti na utamaduni wa derby lakini ukapewa halafu ghafla bila taarifa unaibuka na Ijumaa tena.
 
Sasa si mumshtaki huyo meneja wa uwanja kwa mamlaka husika ili achukuliwe hatua kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa! Kwa nini msusie mechi? Hivi mnafahamu hasara itakayo patikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…