Kamishina wa mchezo na Meneja wa uwanja hawafahamu kanuni? au walishindwa vipi kuwasiliana ili Simba wafanye mazoezi?? Kuna kitu hakipo sawa.

Nadhani aidha hujanielewa au umeamua kuwa mkaidi kwa makusudi.

Musa aliiba mbuzi wa Masawe lakini hakushitakiwa mwezi mmoja baadae Masawe aliiba mbuzi wa Musa na Musa aliamua kumshitaki Masawe na hatimae alifikishwa mahakamani.

Je,kwa Mtazamo wako Musa alikuwa sahihi au alipendelewa?
 
Ni kweli, hata kama kulitokea changamoto, ilitakiwa ndani saa moja ufumbuzi uwe umepatikana. Kuna shida sana nchi hii katika kufanya maamuzi muhimu
Kuna mawasiliqno so ilikuwa ni suala la dakika 5 tu kusolve hiyo ishu
 
Swa

Swali je simba na yanga ni wageni kwenye uwanja wa Mkapa?
kanuni zinazoendesha ligi kuu tanzania zinazungumziaje ugeni na uenyeji ukielewa hilo litakusaidia kutohangaika kutafuta exceptions ambazo kiuhalisia hazipo.
 
Kwan timu ikinyimwa nafasi ya kufanya mazoezi ndo haipeleki timu uwanjani? Ndo kanuni zinasema hivo au? Nauliza tu kujua
Kwaniini uinyime haki yake. ?

SSC sio tabora jiji….. kuwa na akili, usi reason kama KIAZI MBATATA

hata Yanga ilishawahi kugomea mechi pale ilipoona haki yake imeminywa
 
Kwenye mpira halijalishi ni kosa gani,hata kama lifanyike miaka kumi ya nyuma likigundulika kuna adhabu yake, kama ndio hivyo hata Juventus wasinge adhibiwa wewe ulikosea na kwa kanuni zilezile ulitakiwa kuadhibiwa.
 
Watumie viwanja vyao hao wapumbavu wote 2.
 
Kwaniini uinyime haki yake. ?

SSC sio tabora jiji….. kuwa na akili, usi reason kama KIAZI MBATATA

hata Yanga ilishawahi kugomea mechi pale ilipoona haki yake imeminywa
Lione hili libwege, km watu wenyeww km hawa bado wenye akili mnaendelea kushabikia hayo matakataka?
 
Shida yenu kubwa hamuelewi SSC na Yanga zinashindana na pride na ego pia…..SSC kunyimwa kuingia na wahuni wa Yanga ni dharau…. There comes the pride and ego

Unakumbuka last time Yanga aligoma kuleta timu kisa minor change ya muda tu iliyofanywa na Bodi? It is all about pride and I think you should learn that

Leo bodi ilikuwa inakwenda kukusanya mpunga wake wa kutosha tu ; SSC na Yanga zinaingiza millions …… kwanini wasiwe na pride ?

So hiyo sio ishu ndogo kwa SSC , and amini ….. hata Yanga ange react the same unless we ni mgeni wa hizo timu
 
Kwenye mpira halijalishi ni kosa gani,hata kama lifanyike miaka kumi ya nyuma likigundulika kuna adhabu yake, kama ndio hivyo hata Juventus wasinge adhibiwa wewe ulikosea na kwa kanuni zilezile ulitakiwa kuadhibiwa.
Rudia tena kwenye mfano wangu.
Je,Musa alikuwa sahihi au alipendelewa?
Hoja yako inazungumzia makosa ambayo anaweza hukumiwa mkosaji no matter time elapsed.

Ila hapa nachokizungumza mm ni kwamba Simba alikuwa sahihi kuutumia uwanja kwa mujibu wa kanuni za soka letu
 
Mfano wako hauapply kwenye mpira,mpira wa miguu haijaishi lini ulifanya kosa ndio maana nikakupa mfano wa Juventus.
 
Yanga alileta timu uwanjani na mabadiliko ya muda yakafanywa kinyume na taratibu. Simba kazuiwa kufanya mazoezi kitu ambacho hakiwezi kuleta athari yoyote. Hizi figisu hata uko uarabuni kwenye mechi za CAF huwa zinafanyika sana na game inapigwa kama kawaida
 
Huku TFF wanawamudu ndio maana wanawaendesha.
 
Mfano wako hauapply kwenye mpira,mpira wa miguu haijaishi lini ulifanya kosa ndio maana nikakupa mfano wa Juventus.
Hapa tutakesha lugha gongana.
Uko sahihi kwa hiyo case ya Juve lakini kwa mujibu wa kanuni Simba alikuwa sahihi kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.

Hivyo kama Yanga alinyimwa haki hiyo na Simba basi siyo kigezo kwa Simba kukubali ukondoo husika.

Nimemaliza.
 
Utakesha na nani?
 
Kwa maelezo haya,Simba SC kazi wanayo.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…