Nipe ushahidi wa timu kuzuiwa wakati wa Mechi za CAF na hakuna hatua iliyochukuliwaKawaida mbona hata CAF hizi vitu vipo hasa Uarabuni ila still watu wanacheza mechi hawasusi.Ila huku watu TFF wanaimudu.
Hatua zinachukuliwa baada ya mechi kuchezwa na si kususa kucheza mechi. Uarabuni kuna vituko kibao hufanyiwa timu za ugenini, mpaka wengine hunyimwa uwanja wa kufanya mazoezi ila siku ya mechi wanacheza then CAF wanapatiwa repoti yao ya mechi husika ikiwemo na mazingira kabla ya mechi na ndipo maamuzi hufanyika.Nipe ushahidi wa timu kuzuiwa wakati wa Mechi za CAF na hakuna hatua iliyochukuliwa
Ndio maana tunasema kuna kitu hakipo sawaSoma press ya bodi ya ligi utaelewa akili za watu wanaoongoza mpira wetu! Meneja wa uwanja hakupewa taarifa ya ujio wa Simba na bodi ya ligi wamekiri hilo mze😀
This is none sense! I don't think if you even understand how professionism spectrum works out. Simba acted in a professional way they fulfilled their responsibilities as required by TPL rules being in the training ground one day before the match.Ukisema professional unaelewa unachokiongea ?.
professional means fuata protocol kwenye kufanya maamuzi au kushughurikia jambo.
Kama nikweli Yanga kamzuia simba kufanya mazoezi basi walikiuka taratibu.
So what professional action simba had to be done if their opponent deviated from rules?
Pengine leo nijue kama kususia mchezo ni professional action km mpinzani akikiuka utaratibu
Master!Hatua zinachukuliwa baada ya mechi kuchezwa na si kususa kucheza mechi. Uarabuni kuna vituko kibao hufanyiwa timu za ugenini, mpaka wengine hunyimwa uwanja wa kufanya mazoezi ila siku ya mechi wanacheza then CAF wanapatiwa repoti yao ya mechi husika ikiwemo na mazingira kabla ya mechi na ndipo maamuzi hufanyika.
Ndio maana round ya kwanza Yanga waliona kawaida kwani mambo haya CAF yapo sana na watu hawasusi.Ndio maana wakaingiza timu uwanjani.
Mkubwa atajulikana tushaingiza timu uwanjani wewe umechagua kugoma ,Yanga kaingiza timu then mkubwa atajulikana baada ya hapo.Master!
We endelea kushusha thread tu.
Lengo letu limetimia. Ni wakati wa kuonyesha ukubwa wetu kimaamuzi na sio kuchukulia Simba wanyonge.
😁😁 Sawa Master! Jitahidini muwe na refarii wenu. Maana yeye ndio mwenye maamuzi ya kumaliza mechi.Mkubwa atajulikana tushaingiza timu uwanjani wewe umechagua kugoma ,Yanga kaingiza timu then mkubwa atajulikana baada ya hapo.
Sawa sisi tunadocument mechi ya leo, then baada ya hapo kama unavyosema mkubwa atajulika.😁😁 Sawa Master! Jitahidini muwe na refarii wenu. Maana yeye ndio mwenye maamuzi ya kumaliza mechi.
Huko utopoloni mwenye akili ni mmoja tu. Na huu ndio uthibitishoJibu ni moja, hakuna wachezaji walioenda kufanya mazoezi. Ni vibabu tu. Na mbuzi, kondoo. Je hao ndio walitakiwa kufanya mazoezi au wachezaji? Msituchoshe, mnajua mlivyovipeleka jana. Leo wakavu eti mmezuiwa kufanya mazoezi. Kumbe wachezaji wa madunduka ni mbuzi na kondoo? Hatukujua
Anayetakiwa kumueleza mwenzie kuwa siku fulani timu fulani itafanya mazoezi sehemu fulani, ni nani? Asipofanya hivyo, nani anatakiwa kulaumiwa?Kuna mambo hayahitaji elimu ya juu kujua kwamba Kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kwenye mpira wetu. Hivi hata kama Meneja wa uwanja hana taarifa kutoka kwa kamishina wa mchezo kwa uzoefu wake wa uendeshaji wa uwanja anajua kabisa ni lazima timu ngeni itakuja kufanya mazoezi.
Kwa busara tu ya kawaida tu alishindwa vipi kumtafuta kamishina wa mchezo huo na kumuuliza mbona bado yeye kama Meneja wa uwanja hapewi au hajapewa taarifa kuhusu ujio wa timu ambayo itakuwa mgeni kuja kufanya mazoezi??
Lakini pia baada ya hiyo sintofahamu kutokea hapo uwanjani kwanini yeye kama Meneja wa uwanja hakumtafuta kamishina wa mchezo au viongozi wa TFF Ili wampe go ahead ya kuiruhusu Simba kufanya mazoezi?? Hapa Kuna kitu hakipo sawa.
Why always Simba ndio anakuwa (victim) mhanga kwenye haya mambo ya figisu figisu kwenye mechi zake??
Mbumbumbu katika ubora wakoHuko utopoloni mwenye akili ni mmoja tu. Na huu ndio uthibitisho
Utajijua mwenyewe sema unavyotaka kuifurahisha roho yako. Ila jua nina akili kama mchwa. Wasio na akili huona wenzao wote wako kama wao, so pole sana.Huko utopoloni mwenye akili ni mmoja tu. Na huu ndio uthibitisho
Mshindi ni Simba maana hapotezi chochote.Na Yanga na board ya michezo imeamuwa kufanya maamuzi magumu
Sio mburahati queen sasa.Najiulizahvi simba angecheza na Mburahati queins na Mburahati queins wangefanya kama wanavyodai kuwa meneja wauwanjakawazingua natimuhaipeleki uwanjani je ingekuwa Mburahati guein wasingepekeja timu uwanjani?