Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

 Tuache kuwapush sna Hawa wanaweza hata kutoa kesi ya uhaini kwa jamaa waliokuwa wanajipatia chakula baada ya njaa Kali kuwashika
Ila kifupi TU wamedhihirisha ghirba na roho mbaya walizo nazo #Don't visit Zanzibar#
 
Zanzibar iwe tu nchi ya Kidini.
waanze kuchinjana hadharani na kukata mikono wezi siku ya Ijumaa baada ya swala adhuhuri.
hawa waafrika wa zanzibar ni walevi wa dini, wanatia aibu kung'ang'ania ujinga na upuuzi wa dini. Mbona bara kuna waislam lakini hawana upuuzi kama wa zanzibar? Bara chakula kinaliwa mpaka kwenye milango ya kuingilia misikitini na hakuna mla mchana anayebughudhiwa. Misikiti mingi chakula watu wanakula mchana kweupe bila kificho watu hawana wasiwasi wa kukamatwa. Hii zanzibar ni nchi ya uislam gani ambao mungu anawaona wao tu?
 
Mimi nilijua tuh,kumbe makafiri walikamatwa na bangi wakasingizia wanapigwa eti kisa kula mchana,hovyo kabisa hao
Kwani ndugu yangu aliyesema wamekamatwa wakila ni wao au aliyewakamata? Dah kwani hata masikio mmeyaazima? Na Ile barua ya mzungu kula hadharani na yenyewe ilijiandika? Samahani ni neno dogo sana, ila linaleta heshima. Sio kila kitu kitafuata unataka nini. Vingine vitafuata wengine wanataka Nini.
 
Ukiona dini inalazimisha mambo yake kwa mabavu, hiyo dini haitokani na Mwenyezi Mungu.
Eti eeeh,ila inayotoka mwa mungu ni ILE AMBAYO KIONGOZI WENU MKUU ANAWAPA AMRI YA KUFUNGA NDOA MADUME KWA MADUME MPIGANE MASHINE SIYO??BASI SAWAAA...NDOA ZIENDELEEE...
 
Labda huyu CP ndo kavuta bangi. Ushahidi wote ule leo anajitoa ufahamu? Suala la watu kuvuta bangi kwenye viwanja vya maisara lipo kila siku miaka yote na hawajawahi kuwakamata. Nani anayeishi Zanzibar na anayefahamu viwanja vya maisara hajui ni makazi ya wavuta bangi?
 
Eti eeeh,ila inayotoka mwa mungu ni ILE AMBAYO KIONGOZI WENU MKUU ANAWAPA AMRI YA KUFUNGA NDOA MADUME KWA MADUME MPIGANE MASHINE SIYO??BASI SAWAAA...NDOA ZIENDELEEE...
Ile amri huku africa si imektaliwa mkuu au unajioa ufahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…