Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

Yaani hawaoni aibu kabisa leo wamening'iniza makengele yao wanasema wamevuta bangi bila kushauriana hata jamii itawaonaje leo
 
Kiuhalisia ni uonevu raia wako sawa kupaza sauti juu huo uonevu ila sisi tunaona kelele zimewaponza ni sawa wapewe kesi ya kuvuta bangi!
Unajua niliwahi kuwaambia watu kuwa Kuna watu wakishika Mpini wewe ukishika makali chutama tu!
Yaishe..
Sasa hii kesi hata kama wakipata Mwanasheria kutoka Nchi zaidi ya 80 hawawezi kushinda labda serkali iwaonee huruma..

Na hayo imetokana na watu kupiga sana kelele na kubishana na DPP..

Maana DPP alipesa kuwa ni kosa kula mchana wanasheria kadhaa wenye mlengo wa Siasa wakaanza kubishana naye..Kwahyo DPP kaone sasa atoe mfano kwa kuwapa kesi ya Madawa ya kulevya..
So sad kwa Muungano!
 
Usichopenda kujua ni kwamba hao ji wavaa cobaz wenzako. Sisi tunawatetea tu kama binadamu wenzetu na dini yetu inatufundisha kupenda kila mtu bila kujali imani yake
Mimi sina Dini Mkuu na wala sina utambulisho wa dini Yeyote..

Napenda Amani na Upendo utawale Na pale napoona Mtu anajitenga na kuona wengine hawafai na yeye ni bora kuliko mwingine huwa ninampuuza..
Nachojua binadamu wote ni sawa hakuna Mtu mwenye Rank kubwa kuliko mwingine na hakuna mwenye ubora kulko kiumbe kingine viumbe vyote ni sawa..

Na hii nafikiri Mnafundishwa makanisani.hata huko misikitini..

Binadamu Hana tifauti na Wanyama..viumbe wote ni sawa..Tuishi kwa upendo bila matabaka..
 
Kiukweli niseme tu, waislam wa huko zanzibar huwezi kutofautisha kati ya professor na aliyeishia la nne, wote akili zao ni level moja. Sijui wana shida gani hawa binadamu! Unaweza kudhani wanaugua utaahira, kumbe ndivyo walivyo..
Naunga mkono hoja
 
Namshukuru Mama kwani kwa sasa watu hawabambikiwi case…
 
Back
Top Bottom