Uchaguzi 2020 Kampeni lala salama: Magufuli yuko kwenye Mabango na Lissu yuko ndani ya mioyo ya Watanzania!

Ila CHADEMA bwana..Kushindwa kumudu gharama za mabango imekuwa kama ni jambo walilo plan.

Au ndio sihitaji hizi ni Mbichi, ili hali ni Mbivu(hadithi ya sungura).

Anyways..Mie huku mtaani naona vipeperushi vyao na wagombea wao kama vya wale wa Jiunge na freemasonπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lissu yumo mioyoni mwa wanachama na washabiki wa Mbowe tu, watanzania wazalendo tunakwenda na JPM.
 
CCM muelewe kuwa si kila siku ni siku ya gulio
 
Naona MAMLUKI wa CCM asaiv wanavamia kila UZI unaohusu kampeni za Lissu kwa matusi na kejeli ilihali wana UZI wao humu umedoda ile mbaya hauna wachangiaji au ni wale wale tuliowazoea humu wazee wa kukurupuka...

......Ukweli unauma na ni mchungu, CCM hali ni mbaya sana ndio maana mna panic na kufoka foka kila UZI wa kisiasa humu jukwaani mbaya zaidi watetezi wa hiki chama ni walewale na akili zinafanana unaweza kuhisi ni mtu mmoja ndio ana own accounts zote, Vijana wa sisiem punguzeni jazba mtakufa na presha huku bado taifa linawahitaji....
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi 1992.
 
Wanaoenda kwenye mikutano ya CCM ndio wapiga kura,waendao kwenye mikutano ya vyama vya upinzani hawajajiandikisha!!!
Kweli CCM imefanikiwa kwa asilimia mia moja kuwafanya misukule.
 
Ila mwisho umekosea sana, ukweli taifa haliwahitaji hata kidgo

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Bavicha kwa kutwist uhalisia hamjambo. Lissu hayuko kwenye mabango kwa kuwa mabango yanalipiwa na huwezi kuafford kama chanzo chako cha mapato ni kutembeza bakuri. Ila pia hayuko mioyoni mwa wananchi kwa kuwa hamna muelewa yeyote wakumkubali mjuaji kama lissu
 

Nini cha ajabu kwa shabiki wa Chadema kumshabikia mgombea wao? Endelea kujipa matumaini hewa.

Kwa sababu uwezo wenu wa kuchambua hali ya kisiasa ni mdogo, acha tu nikushauri urudi hapa mapema November 2020 utupe mrejesho wa yaliyojiri!
 
Na wewe tuambie hao wahuni waliomdekia barabara Jiwe wangapi watapiga Kura?🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…