Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Ni Lissu tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu!!!!!!na ataishia kua rahisi wa mioyo yenu
CCM muelewe kuwa si kila siku ni siku ya gulioTumewazoea na kelele zenu, mwaka 1995 mlisukuma gari la Lytonga MREMA, baadaye mlihamia kwa NGANGALI na kutandika khanga za CUF, hamkuishia hapo mkahamia chadema na kudeki barabara za jiji la Mwanza. Safari hii mnafagia. Lakini vipigo hamjawahi kuvikwepa, mwaka huu mtajificha wapi sijui. Vyama vyenu ni vya kiunaharakati haitatokea muipate dola labda muanze upya kwa kuviunda upya. Subirini kipigo
Shemeji nilichokigundua ni kwamba mnajaribu kutengeneza vi mada vya kujifariji, lakini mioyoni mwenu mnajua kabisa kichapo hakikwepekiCCM muelewe kuwa si kila siku ni siku ya gulio
Eti kwenye mabango wameandika "Mnyenyekevu" hii zamani hawaioni?
Kama ni hivyo vp wanaompenda jiwe aka kichaa?Nimekaa na kufatilia, wanaompenda lissu na CHADEMA wana matatizo ya akili
Ukweli ni kuwa ccm hata 20% ya kura zote hawapatiShemeji nilichokigundua ni kwamba mnajaribu kutengeneza vi mada vya kujifariji, lakini mioyoni mwenu mnajua kabisa kichapo hakikwepeki
Bosi unaweka nini ili tu betiUkweli ni kuwa ccm hata 20% ya kura zote hawapati
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wanaoenda kwenye mikutano ya CCM ndio wapiga kura,waendao kwenye mikutano ya vyama vya upinzani hawajajiandikisha!!!Kama Ni swala la kuwa Rais myoyoni mwenu(wachache) nakubali, Ila swala la yeye kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ni ndoto mpaka kiama,licha ya kuutamani ataishia kuusikia tu.
Kuna jamaa miaka ile aliwahi hadi kuzima gari yake na akasukumwa na raia umbali mrefu Ila hakushinda,mwangine alihama CCM akapokelewa huko, watu walideki barabara,wakamtandikia vitenge vyao barabarani Ila sasa, acha nicheke tu [emoji23][emoji23][emoji23].
Kwaajili yako mleta mada,Kati ya hao wahuni wanaodeki barabara Kuna wapiga Kura wangapi?
CC: Mzalendo2015
Ila mwisho umekosea sana, ukweli taifa haliwahitaji hata kidgoNaona MAMLUKI wa CCM asaiv wanavamia kila UZI unaohusu kampeni za Lissu kwa matusi na kejeli ilihali wana UZI wao humu umedoda ile mbaya hauna wachangiaji au ni wale wale tuliowazoea humu wazee wa kukurupuka...
......Ukweli unauma na ni mchungu, CCM hali ni mbaya sana ndio maana mna panic na kufoka foka kila UZI wa kisiasa humu jukwaani mbaya zaidi watetezi wa hiki chama ni walewale na akili zinafanana unaweza kuhisi ni mtu mmoja ndio ana own accounts zote, Vijana wa sisiem punguzeni jazba mtakufa na presha huku bado taifa linawahitaji....
Naweka kadi ya kupigia kuraBosi unaweka nini ili tu beti
Alisikika chiz mmoja kutoka lumumbaUchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi 1992.
Safari hii Jiwe ataishia kuwa Rais wa mabango barabarani!na ataishia kua rahisi wa mioyo yenu
Kumekucha...kumekucha!
Bado siku 11 tu kipenga Cha kumaliza mchezo kipulizwe hapo 28 Oktoba,2020.
Fainali ni kati ya hawa miamba 2 John Joseph Pombe Magufuli (CCM) na Tundu Antipas Mughwai Lissu (CHADEMA). Kampeni za Hawa miamba 2 ndizo zinavuta Hisia, Ushawishi na Hoja zenye mashiko.
Wakti Magufuli(CCM) ANATUMIA nguvu kubwa sana kwene Kampeni zake kwa MABANGO MAKUBWA KILA KONA YA NJI HII Mhe. Lissu(CHADEMA) anaonekana anajitangaza KUPITIA NDANI MIOYO YA WATANZANIA MASKINI waliopoteza matumaini. Watz Hawa wanamwona Mhe. Lissu kama mtu anayekwenda kurudisha matumaini yaliyopotea kwa miaka 5.
Ogopa sana kushindana na falsafa iliyojengeka ndani ya mioyo ya Watu na propaganda za midomoni zisizo na tija wala impact yoyote kwene maisha ya kila siku ya Watanzania.
Mfano rahisi: Jiji la Dar limejengwa Flyovers za Mfugale na Ubungo Changeover lakini mvua ya siku 1 imeleta mafuriko na kupoteza maisha ya WATANZANIA wenzetu 12 wasio na hatia!!!
Na wewe tuambie hao wahuni waliomdekia barabara Jiwe wangapi watapiga Kura?🤣🤣🤣Kama Ni swala la kuwa Rais myoyoni mwenu(wachache) nakubali, Ila swala la yeye kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ni ndoto mpaka kiama,licha ya kuutamani ataishia kuusikia tu.
Kuna jamaa miaka ile aliwahi hadi kuzima gari yake na akasukumwa na raia umbali mrefu Ila hakushinda,mwangine alihama CCM akapokelewa huko, watu walideki barabara,wakamtandikia vitenge vyao barabarani Ila sasa, acha nicheke tu 😂😂😂.
Kwaajili yako mleta mada,Kati ya hao wahuni wanaodeki barabara Kuna wapiga Kura wangapi?
CC: Mzalendo2015