siasa hazifanyiki ivo, kila mtu ana matatizo ya kuskilizwa zaidi ya hiteji lenu la kushinda ubunge, ccm wamejikita kwenye matatizo ya nchi nyie mmejikita kwenye kufanya fujoIla inawezekana ni suala la mda na promosheni No reforms, no elections na tone tone zilikuwa hazieleweki ila nowaday naona watu wamezielewa
Pole ni ya nini tena. Si nimeamua mwenyewe kutokuwa sehemu ya ujinga!Pole sana
ongeza juhudi za unfollowPole ni ya nini tena. Si nimeamua mwenyewe!
Huko ndiko kufanya nini mkuu 'stakehigh'.ongeza juhudi za unfollow
No Money,No LifeNo Reforms No Elections
No money,no lifeNRNE
NRNEKwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasa.
Siyo kwa maana hiyo unayoijuwa wewe.Utasimama tu
si matokeo ya kampeni ya unfollow hayo apo yaani mshamaliza nguvu zenu zote mko 20k
Kwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasa.
Vijana msifanye makosa mwezi wa 10. Achaneni na movement za mabeberuKwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasa.
nkajua linakukumbusha unatakiwa kujiandikisha kupiga kura na kuachana na vurugu zisizo na kichwa wala mkiaHuko ndiko kufanya nini mkuu 'stakehigh'.
Hii ndiyo njia mpya ya kutokea kwenye kibano?
As a matter of fact, jina lako limenikumbusha huu msemo mahsusi sana kwa wakati wetu huu.
The "Stakes are too High"! All the stops have to be put aside now!
Hivi kuna "vurugu". Wapi huko kuliko na vurugu?nkajua linakukumbusha unatakiwa kujiandikisha kupiga kura na kuachana na vurugu zisizo na kichwa wala mkia
si unajua kiongozi wako sio kiongozi wa wengi?Hivi kuna "vurugu". Wapi huko kuliko na vurugu?
Ungesema linanikumbusha kudai haki yangu ya msingi ya kupiga kura kwa uhuru, na kura yangu ikahesabika bila ya mizengwe yoyote kupata kiongozi wananchi wanayemtaka; hapo ningekubaliana nawe moja kwa moja.
Sasa sielewi tofauti kati yetu inatokea wapi hasa!
Wewe kwa maksudi kabisa unamua kuona "vurugu" ambayo haipo. Akili yako ipo sawasawa kweli?
Hata kupika takwimu tu hujui. Elimu elimu elimuKwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasa.
Watz wengi hatuna 'critical thinking'. Ni rahisi kuegemea upande X au Y hata bila sababu. Bure kabisa!Kwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasa.
Hapo mtakuwa mnafanya kazi bure..Mkizidisha ujuwaji na msipo omba ushauri kwa wazee, chama kutakuwa DEREGISTERED
Bishana na www.hootsuite.com, siyo mimiHuo ni uongo haiwezekani watu wote figure ziwe na kiwango maalumu cha kushuka digit
Mfano eti 920 basi imeondoka 20 mwingine 110 imeondoka 10
Rudi shule haiwezekani figure iwe shufwa kwa wote
Na hata hivyo hii trend itaendelea ,kwani walipoanzisha no reforms no election ulitegemea iwe ilivyo sasa?