Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Kujidanganya kwa ndio faida kwa wapenda haki na wazalendo was taifa hili.
 
Yupo garage anamwaga oil mpya
 
Yaani JPM kakata tamaa. Hata hao mapolisi na matume. Wanakaribia kuchoka kunsaidia mtu aliyekata tama inachosha sana.
 
Maji yameshamwagika hayazoleki tena. Hata hao Tume na Mapolisi eataeachoka tu.
 
Amekata tamaa. Haoni future.
 
Wewe mnazi wa Chadema, unahangaika naye ili iweje?
Kwa sababu kakata tamaa. Yaani ili afanye mkutano mpaka watu wasombwe kutoka maeneo mengine ya mbali. Ingekuwa wewe ungefanyaje?
Magu naye ni binadamu jamani.
 
Lisu hana kura za kuibiwa
 
He is sick and tired, hawezi vurugu za kampeni, ndio maana Waziri Mkuu anavunja sheria za uchaguzi makusudi ili kuokoa jahazi, sheria kwenye kampeni anatakiwa mgombea na mgombea mwenza pekee.
Endapo ataacha kwenda kwenye baadhi ya Mikoa basi ni wazi kuwa kawafikishia ujumbe Wapiga Kura kuwa yeye ni Mbaguzi na mwenye Visasi.

Kuna baadhi ya Wana ccm wenzake wanaotoa minong'ono kuwa Mzee ana Kamati yake ndogo ya Ufundi inayoratibu shughuli zake zote. Yaani wapi na lini aende wakati gani apumzike na lini apige kazi.
 
Wapi ambapo hajaenda?
Uliambiwa kuwa ataanza j tatu kwa dar mikutani miwili kisha anasepa mikoa mingine sasa wewe unahangaika na mtu ambae keshashinda?
Mshindani ndo hayupo kabisa ni kerere tu ndo anazo.
 
Yaani JPM kakata tamaa. Hata hao mapolisi na matume. Wanakaribia kuchoka kunsaidia mtu aliyekata tama inachosha sana.
Nadhani Hajui Kuwa Umoja, Upendo, Mshikamano Upo Kwasababu Ya Uoga Wetu Watanzania, Mwaka Ambao Tutaondoa Nidhamu Ya Uoga Na Kuwachagua Viongozi Tunaowataka Na Kuhakikisha Tunawasimamia Wanapatikana Hayo Maneno Tunayaweka Pembeni Kwanza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…