Hizo tuhuma tumezizoeaMAUAJI tangu lini yakawa mambo madogo madogo!? Au ndiyo yale ya wahenga ya mkuki kwa nguruwe? Mpaka kufikia kuleta mamluki kutoka Burundi kuja kuumiza watu kisa kung’ang’ania madarakani tu!? 😳
Hizo tuhuma tumezizoea
Umeandika kinyonge, huna matumaini tena kuwa Lissu atashinda?
HAKI ya faragha kwa Watanzania ni ya KIKATIBAVipi hata wewe unaunga mkono ushoga au?
Magufuli ndio angehukumiwa kwanza kwa kuamuru watu wauwawe na wengine watekwe bila kusahau kutumia fedha za umma kwa maslahi yake binafsi.matumaini yatoke wap toka kampeni znaanza mpaka znaaisha jamaa anajibizana tu na magufuli, mwenzake anajitahidi kunadi sera yeye anajiona mtoa spana! mm nasisitiza tu kesi zake ziskilizwe hakuna kwenda kwa mabeberu kabla hajahukumiwa
Kwani huwezi kutumia lugha ya staha. PatheticPole jiandae kumpokea Bwana yako Lissu anaondoka huku tarehe 18/12/2020 kurudi huko kwao Ubelgiji kwa mabwana zake. Watz wamemkataa katakata!!
Faragha inayoelezwa kwenye Katiba haina maana hiyo! Basi hata kumnajisi mtoto mdogo chumbani nayo inaweza kutafasiriwa na wajinga kama ni faragha!! Tumia akili yako kidogo mkuu kudadavua mambo kisomi.HAKI ya faragha kwa Watanzania ni ya KIKATIBA
Ametufundisha Lissu kuwa na lugha hiyo.Kwani huwezi kutumia lugha ya staha. Pathetic
Faragha inayoelezwa kwenye Katiba haina maana hiyo! Basi hata kumnajisi mtoto mdogo chumbani nayo inaweza kutafasiriwa na wajinga kama ni faragha!! Tumia akili yako kidogo mkuu kudadavua mambo kisomi.
Umesikia!!! 🤣🤣🤣🤣Leo nimesikia mawakala wao wamepewa maelekezo kuwa wakiona Ccm wamezidiwa kura waanzishe fujo vituoni alafu polisi wataingilia kati kwa kuwatoa watu na hapo ndo Ccm wataingiza kura zao zilizochakachuliwa. Chadema tujiandae na kuchukua tahadhari
Wewe inaelekea hujavunja ungo siku nyingi zilizopita ndio maana hujui historia ya vyama vingi nchini!CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia.
Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa lazima. Pia kutumia wasanii kujaza nyomi viwanjani. Mjitafakari.
Ni wazi kuwa CCM itatumia hila nyingi kupita uchaguzi huu. Hata mkirudi madarakani tena, mtatumia nguvu kubwa kuwatuliza wananchi wenye hasira, wasio na woga tena. Wananchi wanaweza kuamua chochote saa yeyote ile.
Hivi ni kwanini tulazimishane!
Magufuli ndio angehukumiwa kwanza kwa kuamuru watu wauwawe na wengine watekwe bila kusahau kutumia fedha za umma kwa maslahi yake binafsi.
hahaha hatimae mmeshajua mshindi nan, mnasumbua haki haki wale wabunge mliowafukuza bungeni kipindi cha korona mliwafanyia haki? mnajikuta mnajua kuongea tu haki, hio demokrasia ambayo mtu akitaka kua mwenye kiti cha chama anachomwa moto bado mna kelelel za demokrasia, tuachie nchi ya kijani bana
CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia.
Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa lazima. Pia kutumia wasanii kujaza nyomi viwanjani. Mjitafakari.
Ni wazi kuwa CCM itatumia hila nyingi kupita uchaguzi huu. Hata mkirudi madarakani tena, mtatumia nguvu kubwa kuwatuliza wananchi wenye hasira, wasio na woga tena. Wananchi wanaweza kuamua chochote saa yeyote ile.
Hivi ni kwanini tulazimishane!