Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi huu zimetufundisha mengi kuhusu CCM, hata wakishinda uchaguzi kwa hila siku zao madarakani si nyingi

Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi huu zimetufundisha mengi kuhusu CCM, hata wakishinda uchaguzi kwa hila siku zao madarakani si nyingi

MAUAJI tangu lini yakawa mambo madogo madogo!? Au ndiyo yale ya wahenga ya mkuki kwa nguruwe? Mpaka kufikia kuleta mamluki kutoka Burundi kuja kuumiza watu kisa kung’ang’ania madarakani tu!? 😳
Hizo tuhuma tumezizoea
 
Tunaichagua CCm kwasababu tulijaribu upinzani tukashindwa, jiulize kwanini miaka yote viongozi wa upinzani ni walewale...Maalim seif, Lipumba, Mbowe...wamefanya vyama vya siasa kuwa saccos zao binafsi!

"....kule hakuna kinachoendelea katika siasa za kuongoza nchi,
..mimi ni mwalimu wa sisa pia mwalimu wa uongozi..
nimejaribu kuwafundisha lakini hawakuelewa siasa.
Labda mbele ya safari kama kuna vyama vitanzishwa na kuwa na muelekeo wa siasa
na sio uana harakati..umewahi kumuona mgombea anatembea bila mwenyekiti wala

katibu,wake au katibu wa chama ambaye anagombea ubunge...? chama hakipo pamoja..." by Frederick Sumaye (Waziri mkuu Mstaafu na Kiongozi wa kanda wa CHADEMA) kwenye kampeni Karatu
 
Umeandika kinyonge, huna matumaini tena kuwa Lissu atashinda?

Matumaini yatoke wap toka kampeni znaanza mpaka znaaisha jamaa anajibizana tu na magufuli, mwenzake anajitahidi kunadi sera yeye anajiona mtoa spana! mm nasisitiza tu kesi zake ziskilizwe hakuna kwenda kwa mabeberu kabla hajahukumiwa
 
Sasa ni kupigana ipatikane tume huru na ikishapatikana tu huu ndio utakuwa uchaguzi wao wa mwisho.
 
matumaini yatoke wap toka kampeni znaanza mpaka znaaisha jamaa anajibizana tu na magufuli, mwenzake anajitahidi kunadi sera yeye anajiona mtoa spana! mm nasisitiza tu kesi zake ziskilizwe hakuna kwenda kwa mabeberu kabla hajahukumiwa
Magufuli ndio angehukumiwa kwanza kwa kuamuru watu wauwawe na wengine watekwe bila kusahau kutumia fedha za umma kwa maslahi yake binafsi.
 
Pole jiandae kumpokea Bwana yako Lissu anaondoka huku tarehe 18/12/2020 kurudi huko kwao Ubelgiji kwa mabwana zake. Watz wamemkataa katakata!!
Kwani huwezi kutumia lugha ya staha. Pathetic
 
HAKI ya faragha kwa Watanzania ni ya KIKATIBA
Faragha inayoelezwa kwenye Katiba haina maana hiyo! Basi hata kumnajisi mtoto mdogo chumbani nayo inaweza kutafasiriwa na wajinga kama ni faragha!! Tumia akili yako kidogo mkuu kudadavua mambo kisomi.
 
Uko sahihi chupuchupu ikizidi mwisho wa siku inakuwa kweli,

Nyerere ambaye alkuwa mzalendo halisi aliwahi kusema "watanzania wanataka mabadliko wasipoyapata ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm" kwa huu mwaka yawezekana wakatuponyoka lakini wajue kabisa Huyo mwenzao atakayefata wamemwachia kibarua kizito
 
Faragha inayoelezwa kwenye Katiba haina maana hiyo! Basi hata kumnajisi mtoto mdogo chumbani nayo inaweza kutafasiriwa na wajinga kama ni faragha!! Tumia akili yako kidogo mkuu kudadavua mambo kisomi.
 
Leo nimesikia mawakala wao wamepewa maelekezo kuwa wakiona Ccm wamezidiwa kura waanzishe fujo vituoni alafu polisi wataingilia kati kwa kuwatoa watu na hapo ndo Ccm wataingiza kura zao zilizochakachuliwa. Chadema tujiandae na kuchukua tahadhari
Umesikia!!! 🤣🤣🤣🤣
 
CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia.

Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa lazima. Pia kutumia wasanii kujaza nyomi viwanjani. Mjitafakari.

Ni wazi kuwa CCM itatumia hila nyingi kupita uchaguzi huu. Hata mkirudi madarakani tena, mtatumia nguvu kubwa kuwatuliza wananchi wenye hasira, wasio na woga tena. Wananchi wanaweza kuamua chochote saa yeyote ile.

Hivi ni kwanini tulazimishane!
Wewe inaelekea hujavunja ungo siku nyingi zilizopita ndio maana hujui historia ya vyama vingi nchini!
 
Magufuli ndio angehukumiwa kwanza kwa kuamuru watu wauwawe na wengine watekwe bila kusahau kutumia fedha za umma kwa maslahi yake binafsi.

kwan haujui ukiwaa prezidaa haushtakiwi? vp zile bil 8 za mama mbowe mmmeshazirudisha?
 
hahaha hatimae mmeshajua mshindi nan, mnasumbua haki haki wale wabunge mliowafukuza bungeni kipindi cha korona mliwafanyia haki? mnajikuta mnajua kuongea tu haki, hio demokrasia ambayo mtu akitaka kua mwenye kiti cha chama anachomwa moto bado mna kelelel za demokrasia, tuachie nchi ya kijani bana

Unajua tofauti ya mshindi na mwizi?

Kwa nini hampendi kusema kweli hata mnaposoma kwenye mabandiko ya wenyewe?

Ibeni Ila msisahau kuweka sawa idadi ya watakaokufa.

Safari hii wafu hawatakuwa kwetu peke yake lakini. Mark my words!
 
Duuh very contradictory statement;

1. Wanalazimisha watu kwenda kwenye mikutano.

2. Wanatumia wasanii kujaza mikutano;

Sasa hapo kipi ni kipi.
 
Hawawezi kushinda kwa kura. Sema kama wakiiba uchaguzi huu, which they are well prepared to do...
CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia.

Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na wanafunzi na wafanya kazi wa serikali kwa lazima. Pia kutumia wasanii kujaza nyomi viwanjani. Mjitafakari.

Ni wazi kuwa CCM itatumia hila nyingi kupita uchaguzi huu. Hata mkirudi madarakani tena, mtatumia nguvu kubwa kuwatuliza wananchi wenye hasira, wasio na woga tena. Wananchi wanaweza kuamua chochote saa yeyote ile.

Hivi ni kwanini tulazimishane!
 
Magufuli ameridhishwa na uungwaji mkono na Ghost Voters amesema ni juhudi zake za kujenga Madaraja ya flyover
Amesema Ghost Voters wasisumbuliwe na Polisi.
 
Back
Top Bottom