Uchaguzi 2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

Asante kwa uchambuzi murua. October 2020 tunaenda kumstaafisha rasmi Magufuli arudi kwao kijijini Chato. Nae aone raha ya kusubiria mafao kama wastaafu aliowanyanyasa kwa miaka 5
 
Lissu atashangazwa kivipi wakati kwa opinion poll anaongoza kwa asilimia 70+. Hakuna namna magufuli anaweza mshinda Tundu Lissu ndugu yangu nakwambia. There is no way. Never
 
Aisee unachosema upo sahihi ,watu wamechoka sana tunawaona wanavyoongea huku mitaani tena vijijini kabisaa mtu anasema naomba raisi huyu asirudi madarakani.Sasa kauli kama hizo za wanyonge tena wakulima zinaashiria jambo baya kwa JPM ,watumishi sisi ndoo usiseme tukiamua kuhamasishana na familia zetu kura zaidi ya m.4 tunazichukua
 

Crimea

CCM tangu mwaka 1995, hawajawahi kushinda uchaguzi kwa njia halali...

Ukweli huu CCM wanaujua. Sisi tunaujua. Na kila mtu anaujua...

Hizi tambo za;

".....mtashinda mitandaoni lakini Oktoba 28 tutawaonesha kazi...."

Zimejengwa ktk msingi wa kutumia mbinu zilezile haramu za ushindi wa CCM. Mbinu za kupindua matokeo kwa aliyeshindwa kupewa matokeo ya aliyeshinda...

Crimea, hiyo mbinu mwaka huu 2020 iko "paralyzed", haitafanya kazi tena. Wakitaka kuiamusha, kupora ushindi wa aliyeshinda na kumpa mshindwa, MOTO WAKE UTAKUWA SI WA KITOTO.....!!

Hakuna Jeshi ama polisi ama bunduki ama maji washa yanaweza kuuzima moto huo....

CCM na MAGUFULI kushinda kwa sanduku la kura (ballot box) ni ndoto....

Mnategemea ushindi kwa mbinu za wizi wa kura?.....Hakika ninyi haziwatoshi....!!!
 
Mkuu hayo yote uliyosema ndiyo hayo hayo yatatumiwa na CCM october. Wataiba, watapindua matokeo na maisha yataendelea hivi hivi kama kawaida. Watz tunaongea sana lakini vitendo ni zero. Magu amepiga marufuku mikutano na maandamano ambayo katiba ya nchi inaruhusu kwa miaka mitano, na hakuna chama kilichothubutu kufanya chochote zaidi ya kusema tu na kulalamika.

Watu wamebomolewa nyumba zao kukiwa na zuio la mahakama na wakakaa kimya.Hakuna utawala wa sheria, Nchi hii imeendeshwa kifalme, neno la mkulu ndilo limekuwa sheria, watu kimyaa!

Hiyo october itafika sitegemei maajabu, kura tutapiga na hata LISSU akishinda unategemea hii tume ya uchaguzi ambayo ni ya CCM imtangaze Lissu mshindi?!?!
Thubutu!
 
Mimi najitolea kumpigia Magufuli kampeni bure kwa haya makubwa aliyoifanyia taifa mimi na familia yangu nitampigia kura
 
Wapiga kura waliojiandikisha ni takribani milioni 29 wametapakaa vijiji elfu 12 na miji yote wakinufaika na mambo aliyoyafanya JPM
. Walioko mitandaoni ni sehemu ndogo sana ya wapiga kura.

JPM ana mtaji wa kutosha wa mamilioni ya wapiga kura vijijini na mijini wanaonufaika na huduma za afya katika zahanati na vituo vya afya kila kijiji na kata, hospitali za wilaya na mikoa zilizojengwa, kukarabatiwa na kupewa madaktari bingwa na madaktari wapya kuajiriwa; elimu bure kuanzia chekechea hadi form IV, huduma za maji safi sehemu nyingi na zile anbazo bado miradi ya maji inajengwa na iko mbioni kukamilika; barabara za lami zimekamilika na zingine zinaendelea kujengwa; madaraja yanayounganisha wilaya na wilaya yamejengwa na mengine yanaendelea kujengwa; meli mpya katika maziwa makuu, bandari katika maziwa makuu zinajengwa na kupanuliwa; relu ya kisasa ya SGR, umeme wa Stigler gorge na wa vyanzo vya gesi Kinyerezi II na kwingineko; stand za mabasi na masoko ya mazao ya wakulima yamejengwa. Hayo ni baadhi tu ya mambo yatakayombeba asubuhi kweupe anashinda tena kwa kishindo.
 

Nakuambia hivi, labda mbinu zilezile zilizotumika kwenye uchaguzi wa marudio na uchaguzi wa SM ndio zitumike na sasa. Ni kweli ccm inaweza kushinda lakini sio kwa margin ya kutambia mliyoitegemea. Watu wengi wanaojitambua tuko na kadi zetu za kura, kilichokuwa kimekosekana ni ari baada ya ushenzi wa wazi kwenye uchaguzi, bila kuwa na mtu wa kusema sasa basi.
 
Ni mitandaoni siyo huku field ambako kombe ndio linakopatikana!

Huko kwenye kombe si ndio kama ule uchaguzi wa SM za mitaa ambao hata mnaona aibu kuungolea?
 
Unajua ndo maana Mimi natamani sana matumizi ya nguvu kuiondoa ccm madarakani maana mwanaccm hata akienda shule bado hawezi kuelemika.Serikali ni Mali ya watanzania wote na inatumia pesa inayolipwa na watanzania wote kujiendesha na kutatua kero za watanzania.Ccm tumewapa tu waiongoze, Ila kitendo Cha kujimilikisha serikali yetu na Kisha kuzitumia kwa maslahi ya chama Chao ni dharau na matumizi mabaya ya pesa zetu.ninavyotamani nguvu itumike then itokee nimkute mtu fulani kwenye mtaro? Lazima nimnyonye mate kwanza aisee
 
Wanasubiria kuiba kura,wangekuwa na uwezo wa kushawishi watu wapate kura za haki,hukumu ya mahakama ya Africa na ombi la BWM la kuwa na tume huru ya uchaguzi lingekuwa limetekelezwa.
 

Hiyo idadi ya 29m+ ni ya kupika kwa madhumuni ya kuficha aibu ya tume isiyo huru ya uchaguzi. Hao wasiongia mitandaoni wanaongozwa na wanaoingia mitandaoni. Mpaka tunavyoingia mitamboni bado watanzania ni masikini kama ambavyo Magufuli aliwakuta, tena ugumu wa maisha umezidi, maana hata ajira hakuna, ni kweli kuna miradi kadhaa, lakini miradi hiyo ina impact ndogo kwenye ushawishi kwa kura maana haijaongeza kipato chao. Hizo hospitali nyingi ni majengo yasiyo na vifaa tiba.

Hiyo miradi ya SG na SGR yote hakuna hata mmoja uliofikia robo, na hakuna uhakika wa kukamilika kwa 100% kama Magufuli ataongezewa miaka mitano. Wananchi wanachagua kwa ushawishi wa kupandisha vipato vyao, na sio kushurutishwa kuchagua kwa ajili ya miundombinu kadhaa tu. Tunachotaka ni tume isiyo huruya uchaguzi kuheshimu box la kura, na sio kutii amri za rais aliye madarakani. Kisha mtakuja kujua wananchi wameshaamka.
 
Mkuu huyo mtu Kama alikuwa mwanaccm huyo dr.angeacha huyo mgonjwa wake akafie mbele tu.wanaccm hasa hawa wajinga wanaojiita wajumbe wa nyumba ngapi sijui na wale wanaojitoa ufahamu kuwa ccm ndo imewalea,kwao ccm ni bora kuliko maisha yao.ni wapuuzi fulani hivi ambao hawapaswi kusaidiwa kwa lolote
 
Magu ni bingwa wa kushindwa
 
Sasa ili kurhibitisha hili...Magufuli akubali tume huru kabisa ya uchaguzi! Tuone atakavyo aibika
 
Sema CCM wengi ni mafukara hata mlo wa siku unawashinda wataziweza smartphone?

Wewe ushukuru tu hilo bando la Lumumba vinginevyo tusingekusoma humu!
Wengi ni watu wasio na elimu na wazee wenzangu.Zingatia utafiti wa TWAWEZA.Hata hawajulikani wameishia wapi?Wamefungiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…