Uchaguzi 2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

Aksante kwa "entertaining article". Mpambano bado sana. Fainali ni siku ya kupiga na kuhesabu kura. Siku hiyo "Team CCM" itafurukuta kugeuza kwa nguvu matokeo ili watangazwe washindi. Kwa hiyo "Team Lissu" inapaswa iweke "Control mechanism" ya maana siku hiyo kuzuia hujuma hizo. Vinginevyo "Team CCM" kwa mshangao itaibuka kidedea.
 
atamkumbuka BWM
 
Kete ya CCM iliyobaki ni kuchezea kura za raia siku ya uchaguzi. Nina uzoefu wa miaka mingi. Masanduku kujazwa kura badia kabla ya zoezi la kupiga kura kuanza kwa kuwa mawakala wa wagombea hucheleweshwa kwa makusudi kuingia ndani ya vituo. Pili; kugeuza kura wakati wa kuhesabu kwa kutumia udhaifu wa mawakala. Tatu; kumtangaza aliyeshindwa kuwa ni mshindi kutokana na mawakala kutopewa nakala ya matokeo katika kituo.
 
 
Sema Sasa mfuasi wa Tundu Lissu Nini atafanya tukimpa ridhaa ya kuongoza nchi??
 


 

jiandae kujinyonga huu mwaka!
wananchi si hawa hapa ya nn kuandika sana
 
Magufuli ana wananchi wa vijijini kuongezea na akina mama kwa ujumla hawachezi mbali ya CCM.
Lakini ikibidi ana wasukuma na wanyamwezi ni theruthi ya wapiga kura nchi nzima wakiamua block vote.
Hata katika CCM wale ambao hawakubaliani na Magufuli wanataka aongezewe miaka 5 ili akamilishe ngwe ya miaka 10 kama watangulizi wake.

Lakini kwa Lissu,Kuna kizazi kipya che kuelewa mambo kipo nyuma yake,wanaotaka mabadiliko ya utawala,wengi wao hawana ajira na wananyemelewa na ukata hawana jambo la kupoteza kumchagua Lissu .
Idadi ya vijana sampuli hiyo ni changamoto kwa CCM.
Tatizo Magufuli bado ni Raisi anaetetea kiti chake,kwa hali ya siasa za Tanzania sio kazi rahisi kumshinda mwenye dola.
 
Nenda kamlambe miguu yesu wa chattle 🤣 🤣
Nakuonea huruma unastress za maisha Hadi Basi😆😆 duh ningekujua ningekusaidia wallah maana umechoka akili na roho,tupo tusiosubiri wanasiasa watujengee maisha ...
 
Nakuonea huruma unastress za maisha Hadi Basi😆😆 duh ningekujua ningekusaidia wallah maana umechoka akili na roho,tupo tusiosubiri wanasiasa watujengee maisha ...
Unaitwa na yesu wa chattle 🤣 🤣
 

Hujui usemalo wala ujualo wewe....

Mimi naandika haya nikiwa usukumani na unyamwezini. Kila kitu ni red right kwa Magufuli huku..m
 
Na haya watu wa vijijini na mjini wanayajua. Huyu akiefanya utafiti huo ajaribu kwenda hata,kariakoo anunue kitu then amuulize muuzaji kura yake atampa nani; atapata jibu kwa chadema hawana kitu October
 
Posta DSM watumishi wa umma wanshindia mihogo na MAJI ETI NDO LUNCH wengine wanapiga deshi hapo tija itoke wapi hadi wakosee tena kupiga kura wachague mateso yao tena
 
we ni kula kulala uza hata mchicha uone uhalisia.wakulima wa korosho waliozulumiwa walipiaga sili gani,wahitimu,waliobomolewa nyumba zao hawa walipiga dili gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…