Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sisi kazi yetu ni kukupa habari tu baasi, kuhesabu kura au sijui mabakuli havituhusu kwa sasaMwisho wasiku kura ndo zitaongea kutoroka si inshu sana, vipi mkuu mtapitisha mabakuli?
Usisahau kutuwekea link kamanda πSisi kazi yetu ni kukupa habari tu baasi , kuhesabu kura au sijui mabakuli havituhusu kwa sasa
Nisamehe mkuu , mimi nilichofanya nimeripoti taarifa zilizopo , hata sikujua kama ni kiki , yaani wewe ndio umenistua !Kutoroka kazini ndio umeona bonge ya kiki hadi uje useme hapa? wewe jamaa bongo la TIRO.
Leo nitakuwepo mapema tu, nishatoroka kazini muda
Hao maofisa waliotoroka ofisini wameenda kwenye tamasha la wasanii!View attachment 1553923
Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa , baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbali mbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi

Muwe mnasema sio kuwafanyia watu surprise..πSisi kazi yetu ni kukupa habari tu baasi , kuhesabu kura au sijui mabakuli havituhusu kwa sasa
Tume ya uchaguzi iangalie uwezekano wa mikutano hii kufanyika week end , maana hizi siku za kazi hizi ni balaa !Leo nitakuwepo mapema tu, nishatoroka kazini muda
Wasanii wenyewe ndio wale akina Zuchu ππHao maofisa waliotoroka ofisini wameenda kwenye tamasha la wasanii!