Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Shukrani kwa kuitambua nguvu ya Chadema Kyela
Kwa hiyo kamanda unagombania ubunge na darasa la saba wa CCM, ila Dr Mwakyembe ana dharau sana 🤣 .
Interesting part ni huyo darasa la saba anaenda kudondosha vichwa vingine Kyela, billionea Erythrocyte anaenda kula za uso za la saba B.
Toa mchango wa mabakuli billionea Erythrocyte 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni ufinyo wa kufikiri kwa Sasa kuongelea hoja za kujaza watu kwenye mikutano Kama agenda, watu wengi hawaendi kwenye mikutano ya siasa na bado niwapiga kura wazuri tu, kikubwa kwa Sasa watu wanatumia njia za mawasiliano kujua agenda za mkutano, mikutano inayoweza kushabikiwa kwa kujaza watu ni mikutano ya kidini, miziki, mipira kwasababu wanaohudhuria ni vijana kwa wingi kuliko watu wa makamo na wazee.
Poaaa kamanda tuweke link basi baadae tusikilize point za Prof Lema na tuone mabakuli.
 
Ndo nimeamka nilikuwa Arusha nimetokea Mwanza kwa matukio mawili Ngao ya jamii, Mkutano wa CDM. Jamani wananchi wanamsubiri kwa hamu raisi mtarajiwa Tundu A Lissu #NiYeyE2020.

Tujiandae kuutetea ushindi wetu pale tutaposhinda, maana si kwa mahaba haya.
 
Hiyo nyomi iko wapi? weheni utube tuione
 
Tumefurika kwenye tamasha la wasanii huku nyomi ni ya kufa mtu na baadaye Bingwa wa Nchi hii atakuwa uwanjani.Huyo Lema tulimpa miaka 5 ya kujipambanua na kujitafutia kura.

Mkutano wa siku moja hauwezi kubadirisha kitu.kama hakutumia miaka yake 5 kujijenga kisiasa akitegemea huruma ya Tundu Lissu atakuwa kabugi hapo
 
Hiyo ndo Arusha watu wanamiminika kama sisimizi katika viwanja vya NMC Relini na wengine wameenda kumlaki Mkombozi Mwanasheria Nguli Barani Afrika TL huko KIA
lile tamasha uchwara watu wamelipuuza wanasema ni mambo ya kitoto kwanini waliandae leo? Wanasema hawana shida ya kuwatazama wasanii shida yao ni matatizo ya maisha yanayowakabili kama uchumi, ajira nk

Picha zinakuja stay tuned hapahapa
 
Ahsante
 
Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi

Mwisho wasiku kura ndo zitaongea kutoroka si inshu sana, vipi mkuu mtapitisha mabakuli?
 
Ndo nimeamka nilikuwa Arusha nimetokea Mwanza kwa matukio mawili Ngao ya jamii, Mkutano wa CDM. Jamani wananchi wanamsubiri kwa hamu raisi mtarajiwa Tundu A Lissu #NiYeyE2020.
Tujiandae kuutetea ushindi wetu pale tutaposhinda, maana si kwa mahaba haya.

Usiache kutuwekea link kamanda, tunataka tusikilize madini ya kamanda Lissu, tuone nyomi yake bila kusahau yale mabakuli 🤣
 
Back
Top Bottom