Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Kwenye hiyo picha,nimehesabu watu waliopo kati ya Lissu na Mwalim wanafika 300.nikongeza ziada watu 100 kufidia kama kuna wengine sikuwahesabu.

sasa nyinyi wanyanyembe Chadema kweli mgombea urais mnapata watu wachache kiasi hiki,mmewakosea nini watanzania mpaka wameamua kuwasusa?
 
Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi

DC wa meru naona akielekea maeneo ya viwanja vya relini arusha,,Ni mwalikwa au katoroka kazini?
 
Erythrocyte kamanda vipi kampeni Kyela huko, ushindi si saa nne asubuhi tu ?
Fanya mambo basi tajiri, kibopa, billionea wetu Erythrocyte kampeni za kamanda Lissu ziende, raia wamechoka kupitishiwa mabakuli. 😁
 
Akiwasili please update respectively with pictures

Wengine tupo mbali sana yet we're interested massively in it.
 
Tume ya uchaguzi iangalie uwezekano wa mikutano hii kufanyika week end , maana hizi siku za kazi hizi ni balaa !

🤣 🤣 🤣 🤣

Poaa kamanda, tumuambie Lissu afanye mikutano weekend tu kwa kuwa weekdays anadharirika.
NEC hawajamlazimisha mgombea afanye kampeni kila siku kamanda.
Picha za mabakuli Arusha usisahau kutuma jioni.
 
Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi

Wewe dada acha uongo! Lema analalamika huko twita nenda kamwone!
 
Ni ufinyo wa kufikiri kwa Sasa kuongelea hoja za kujaza watu kwenye mikutano Kama agenda, watu wengi hawaendi kwenye mikutano ya siasa na bado niwapiga kura wazuri tu, kikubwa kwa Sasa watu wanatumia njia za mawasiliano kujua agenda za mkutano, mikutano inayoweza kushabikiwa kwa kujaza watu ni mikutano ya kidini, miziki, mipira kwasababu wanaohudhuria ni vijana kwa wingi kuliko watu wa makamo na wazee.
 
Back
Top Bottom