Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Labda wapeleke wasanii wa filamu za Ngono halafu wafanye shoo za bure

Leo Bwana asubuhi kulikuwa na Nzuki stadium bure unasikika kote, And jioni kuna mechi bure ya simba kama sikosei!
 
Uwanja wa relini Arusha pana amani na utulivu, tunangoja kusikiliza sera halafu tutaamua!

2:05 Jukwaa linafungwa......
Kwa hiyo mpaka sasa hakuna jukwaa?
Mwaka huu kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…