Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mapoyoyo yanabwata Stadium yamesanda Msafara wa LISSU kama SISIMIZI
Ngoja tuone...... Siasa siyo Uadui!Uwanja wa relini Arusha pana amani na utulivu, tunangoja kusikiliza sera halafu tutaamua!
2:05 Jukwaa linafungwa......
Ngoja tuone...... Siasa siyo Uadui!
Arusha lazima watasema Ni YeYe
Labda wapeleke wasanii wa filamu za Ngono halafu wafanye shoo za bure
Kwa hiyo mpaka sasa hakuna jukwaa?Uwanja wa relini Arusha pana amani na utulivu, tunangoja kusikiliza sera halafu tutaamua!
2:05 Jukwaa linafungwa......
Yaani hata kabla ya kusikiliza watasema ni yeye tu, na hamna mwingineWanatakiwa wasikilize sera Halafu waamue
Yaani hata kabla ya kusikiliza watasema ni yeye tu, na hamna mwingine
Mpango wenu wa kutega bomu hautafanikiwa safari hiiKwa hiyo mpaka sasa hakuna jukwaa?
Mwaka huu kazi ipo
Ngoja tuone...... Siasa siyo Uadui!
Nirushie hata kapicha kamanda tuone wanao subili the greatmpango wenu wa kutega bomu hautafanikiwa safari hii
mpango wenu wa kutega bomu hautafanikiwa safari hii
Nirushie hata kapicha kamanda tuone wanao subili the great