Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

We don care kwa kweli, atajiju
 
Kwa kweli watu ni wengi na hawajafika, patakuja kujaa sana wakifika
 
Mnalazimisha tu,lissu hana umaarufu Ni mpiga kelele tu

Mtu anawaumbua na kuwafumbua macho wananchi unamwita mpiga kelele!! Hela za kodi yetu inatumika bila utaratibu huku jamaa anakula 10% za manunuzi unasema anapiga kelele; wewe mbwiga kweli kweli!
 
Mambo serikali ya Ccm ina fanya ni ya kukemea kwa nguvu zote.
Baada ya kusikia Lissu yuko Arusha leo serikali imeweka wasanii mita chache kutikea ukipo mkutano. Naambiwa mgeni rasmi ni mkuu wa mkoa. Haya, uwanja wa Sheikh Ameir kuna mpira wa Simba na AFC kiingilio ni bure.. Je siku JPM akija Arusha haya mambo yataruhusiwa?
Nimeuliza tuu maana hadi sasa uwanjani kwenye mpira mahudhurio ni zero, tamasha la wasanii wana jichora wenyewe hamna watu.
Rais wa roho za watu hajafika lakini uwanja umesha tapika.. Ccm acheni upuuzi. Mna jidhalilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…