Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Subiria mapicha kiongoziRisasi16 za upendo Only in Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiria mapicha kiongoziRisasi16 za upendo Only in Tanzania
We don care kwa kweli, atajijuUkichunguza kwa makini utagundua kuwa toka Lissu arudi nchini tabia ya Jiwe ilibadilika gafla; akawa mpolee!!
Watch my words; huyu Jiwe atakuwa mpole zaidi akienda Bukoba kwa Wahaya kuomba kura!! Akidhania wamesahau matusi aliowatukana baada ya tetemeko!
Kwani lini uliaibika?Tusije tuka aibika [emoji2][emoji2][emoji2] tena
Tuliza ⚽ mkuu utapata tu, hatushindwiNirushie hata kapicha kamanda tuone wanao subili the great
Ni kweli Dada,ningumu kwa kupitia ballot box,ila somo limeeleweka watu wamechoka CCM..Those who think TL can be president of TZ, have no brain.
nenda kapige ww iliuwarushie ndugu zako vizuri
Mji gani manka?!Tundu Lissu ndiyo habari ya mjini
Mnalazimisha tu,lissu hana umaarufu Ni mpiga kelele tuIdadi kwa sasa ni nzuri sema watu wapo pembeni ya uwanja kuna kajua....
Mbona watu walijaa Dodoma kuwa tazama kina SHILOLE? ULIONA BONGE LA KIKI EEH?Kutoroka kazini ndio umeona bonge ya kiki hadi uje useme hapa?
Wakituma picha naomba uniiteeeNirushie hata kapicha kamanda tuone wanao subili the great
Mnalazimisha tu,lissu hana umaarufu Ni mpiga kelele tu
Kuna tofauti gani na wewe unaefuatilia upumbavuNa wewe uko vizuri kwa kupost upumbavu
Ushasema Shilole ...wale ni wauza sura kamanda, na wewe paka poda kama vipi tukuchukue.Mbona watu walijaa Dodoma kuwa tazama kina SHILOLE? ULIONA BONGE LA KIKI EEH?
Mnalazimisha tu,lissu hana umaarufu Ni mpiga kelele tu
Mungu wa Lissu ndio Mungu wa Tanzania sio yule mungu wa mashetani ccm
[/QUOTE
Kweli Arusha ni ngome ya chadema nimeikubaliMji gani manka?!
Mambo serikali ya Ccm ina fanya ni ya kukemea kwa nguvu zote.Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi