guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Kuna mtu alisema eti Lissu kapanda atcl?Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi
Safi sn..... Ccm ni chama cha kishetaniMambo serikali ya Ccm ina fanya ni ya kukemea kwa nguvu zote.
Baada ya kusikia Lissu yuko Arusha leo serikali imeweka wasanii mita chache kutikea ukipo mkutano. Naambiwa mgeni rasmi ni mkuu wa mkoa. Haya, uwanja wa Sheikh Ameir kuna mpira wa Simba na AFC kiingilio ni bure.. Je siku JPM akija Arusha haya mambo yataruhusiwa?
Nimeuliza tuu maana hadi sasa uwanjani kwenye mpira mahudhurio ni zero, tamasha la wasanii wana jichora wenyewe hamna watu.
Rais wa roho za watu hajafika lakini uwanja umesha tapika.. Ccm acheni upuuzi. Mna jidhalilisha
Picha Tafadhali!Mambo serikali ya Ccm ina fanya ni ya kukemea kwa nguvu zote.
Baada ya kusikia Lissu yuko Arusha leo serikali imeweka wasanii mita chache kutikea ukipo mkutano. Naambiwa mgeni rasmi ni mkuu wa mkoa. Haya, uwanja wa Sheikh Ameir kuna mpira wa Simba na AFC kiingilio ni bure.. Je siku JPM akija Arusha haya mambo yataruhusiwa?
Nimeuliza tuu maana hadi sasa uwanjani kwenye mpira mahudhurio ni zero, tamasha la wasanii wana jichora wenyewe hamna watu.
Rais wa roho za watu hajafika lakini uwanja umesha tapika.. Ccm acheni upuuzi. Mna jidhalilisha
hao ni wale wanaolipwa elfu 7 kwa wikiKuna mtu alisema eti Lissu kapanda atcl?
Mungu ibariki Chadema
Mkuu wanaccm hawajawahi kuwa na akili,yaani miaka yote mitano wafanye siasa wao ,watishe watu wao,wabebe watu kwenye malori harafu eti wanajilinganisha na Chadema,shameMkuu watu wanajifanya wasahaulifu kuhusu uadui mkubwa alioujenga huyo jamaa ndani ya miaka mitano tu.
Safi sana. Walie tu!Tundu Lissu ndiyo habari ya mjini
Lazima Mabakuri yapite wananchi wanagharamia kampeni zao unadhani wao sawa na Magu na mwanae Dotto pale hazina wanachota watakavyoMwisho wasiku kura ndo zitaongea kutoroka si inshu sana, vipi mkuu mtapitisha mabakuli?
nenda kalee watoto wa maria kakuletea leo kupitia machupa ya kichina achana na watu wa maono mulidhani mutawaweza kuwanyima fursa ya kufanya siasa miaka mitano macho kodoYaani jamaa wanafanya anasa namna hii je wakishika dola??
Wasije wakaanza figisu kwa Jambo jetUwanja wa relini Arusha pana amani na utulivu, tunangoja kusikiliza sera halafu tutaamua!
2:05 Jukwaa linafungwa......
palizizima ile mbaya yakeVIP kishindo cha dar ilikuwaje
Watu hawa vichwa vyao vime-Seize kufanyakazi. Wanahofu ya kufa mtu.Sisi kazi yetu ni kukupa habari tu baasi, kuhesabu kura au sijui mabakuli havituhusu kwa sasa
washamba wa karomije fedha za umma zingine mumekopa mpaka mimba zinadaiwa bado unasema bombadier zenu nyie washamba vipiChopa angeenda kutua KIA ....
Tunaomba picha za Lissu akiwa ndani ya bombardier yetu 😁 ...
PR wa CDM changamkeni watu tunataka kumuona Rais wetu Lissu akiwa anashuka kwenye bombardier yetu.
Wananchi wanajiuliza waende relini au sheikh amri abeid!
Wewe una 'e ishi kwa ARV za hisani ya watu wa Marekani una lipi jipya!?Kuna lipi jipya zaidi ya kuwa anaishi kwa damu ya wakenya!
He will be President of the United Republic of Tanzania but people like you, your mom and daddy bashites zero brain will not understandThose who think TL can be president of TZ, have no brain.