Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Mambo serikali ya Ccm ina fanya ni ya kukemea kwa nguvu zote.
Baada ya kusikia Lissu yuko Arusha leo serikali imeweka wasanii mita chache kutikea ukipo mkutano. Naambiwa mgeni rasmi ni mkuu wa mkoa. Haya, uwanja wa Sheikh Ameir kuna mpira wa Simba na AFC kiingilio ni bure.. Je siku JPM akija Arusha haya mambo yataruhusiwa?
Nimeuliza tuu maana hadi sasa uwanjani kwenye mpira mahudhurio ni zero, tamasha la wasanii wana jichora wenyewe hamna watu.
Rais wa roho za watu hajafika lakini uwanja umesha tapika.. Ccm acheni upuuzi. Mna jidhalilisha
Safi sn..... Ccm ni chama cha kishetani
 
Picha Tafadhali!
 
Mungu ibariki Chadema

Nina ondoka sasa hivi kutoka Shingatini, Mwanga kwenda Arusha nikasikie mwenyewe, maana safari hii inawezekana bakuli lisijae kwa hiyo hatuto tembelewa Upareni. Ila naheshimu sana mapenzi yako kwa Chadema, mimi kuanzia 1994 kufika 2016 nikapumzika miaka 17. Ila poleni safari hii.
 
Mkuu watu wanajifanya wasahaulifu kuhusu uadui mkubwa alioujenga huyo jamaa ndani ya miaka mitano tu.
Mkuu wanaccm hawajawahi kuwa na akili,yaani miaka yote mitano wafanye siasa wao ,watishe watu wao,wabebe watu kwenye malori harafu eti wanajilinganisha na Chadema,shame
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mwisho wasiku kura ndo zitaongea kutoroka si inshu sana, vipi mkuu mtapitisha mabakuli?
Lazima Mabakuri yapite wananchi wanagharamia kampeni zao unadhani wao sawa na Magu na mwanae Dotto pale hazina wanachota watakavyo
 
Yaani jamaa wanafanya anasa namna hii je wakishika dola??
nenda kalee watoto wa maria kakuletea leo kupitia machupa ya kichina achana na watu wa maono mulidhani mutawaweza kuwanyima fursa ya kufanya siasa miaka mitano macho kodo
 
Uwanja wa relini Arusha pana amani na utulivu, tunangoja kusikiliza sera halafu tutaamua!

2:05 Jukwaa linafungwa......
Wasije wakaanza figisu kwa Jambo jet
IMG_20200831_151742.jpg
IMG_20200831_151735.jpg
IMG_20200831_151727.jpg
IMG_20200831_151720.jpg
 
Chopa angeenda kutua KIA ....
Tunaomba picha za Lissu akiwa ndani ya bombardier yetu 😁 ...
PR wa CDM changamkeni watu tunataka kumuona Rais wetu Lissu akiwa anashuka kwenye bombardier yetu.
washamba wa karomije fedha za umma zingine mumekopa mpaka mimba zinadaiwa bado unasema bombadier zenu nyie washamba vipi
 
Wananchi wanajiuliza waende relini au sheikh amri abeid!

Waenda relini wataenda, na waenda sheikh amri Abedi wataenda. Sioni shida kwenye hilo, na hapo ni sehemu sahihi ya cdm kujua wanavyokubalika. Tena ikibidi hao wanaonda sheikh Amri Abeid waahidiwe na vinywaji kabisa.
 
Those who think TL can be president of TZ, have no brain.
He will be President of the United Republic of Tanzania but people like you, your mom and daddy bashites zero brain will not understand
 
Nasikia Simba na Yanga watacheza bila bukta ili watu waondoke kwenye Mkutano wa Lissu?
 
Back
Top Bottom