Mambo serikali ya Ccm ina fanya ni ya kukemea kwa nguvu zote.
Baada ya kusikia Lissu yuko Arusha leo serikali imeweka wasanii mita chache kutikea ukipo mkutano. Naambiwa mgeni rasmi ni mkuu wa mkoa. Haya, uwanja wa Sheikh Ameir kuna mpira wa Simba na AFC kiingilio ni bure.. Je siku JPM akija Arusha haya mambo yataruhusiwa?
Nimeuliza tuu maana hadi sasa uwanjani kwenye mpira mahudhurio ni zero, tamasha la wasanii wana jichora wenyewe hamna watu.
Rais wa roho za watu hajafika lakini uwanja umesha tapika.. Ccm acheni upuuzi. Mna jidhalilisha