Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Aibu yao
 
Wewe bwana usituchanganye mimi mwenyewe nipo ofisini na nilitoka kidogo kwenye ofisi nyingine ya Serikali na shughuli zinaendelea kama kawaida. Nilikuwa mjini kati mpaka saa Saba hakukuwa na shamrashamra zozote, kidogo kuanzia saa nane hivi ndio watu wameanza kujitokeza kwenda eneo la tukio. Ndio nasema nina wasiwasi na uraia wako.
 
Hebu leta picha ilipigwa kwa juu tuone nyomi? Mwaka huu mbona picha hamtaki kupiga tokea juu kama 2015 wakati wa Lowassa tuone nyomiii???!

Kwani kuna mtu anataka uone watu? We kaa na mambo yako
 
Tunakushukuru kwa kuchungulia kidogo mkutano wa Rais Mtarajiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…