uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Sasa hii ndio ngome ya CDM pako hivi, mkifika Rukwa, Ruvuma na kusini huko hali itakuaje. Lissu ameshashindwa dakika za mwanzoni tu.
Njoo uone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hii ndio ngome ya CDM pako hivi, mkifika Rukwa, Ruvuma na kusini huko hali itakuaje. Lissu ameshashindwa dakika za mwanzoni tu.
Ass!! Come back home and vote!! Don't only make noises from mafichoni country!It depends who you are talking about. The guy who prefers to call himself KICHAA his hands are full of blood 🩸 from innocent Tanzanians.
Sasa hii ndio ngome ya CDM pako hivi, mkifika Rukwa, Ruvuma na kusini huko hali itakuaje. Lissu ameshashindwa dakika za mwanzoni tu.
Mbona watu wachache sana?
Aone nini kama hata jukwaa bado linajengwa!Njoo uone
Hahaha ya 2015 wakati mnazungusha mikono!! Mwaka huu mtazungusha viuno!!Kweli!
Roho hiyo huna we mchumia tumbo akili ndogoTunaomba Account number tuchangie japo laki
Hahaha ya 2015 wakati mnazungusha mikono!! Mwaka huu mtazungusha viuno!!
Aibu yaoMambo serikali ya Ccm ina fanya ni ya kukemea kwa nguvu zote.
Baada ya kusikia Lissu yuko Arusha leo serikali imeweka wasanii mita chache kutikea ukipo mkutano. Naambiwa mgeni rasmi ni mkuu wa mkoa. Haya, uwanja wa Sheikh Ameir kuna mpira wa Simba na AFC kiingilio ni bure.. Je siku JPM akija Arusha haya mambo yataruhusiwa?
Nimeuliza tuu maana hadi sasa uwanjani kwenye mpira mahudhurio ni zero, tamasha la wasanii wana jichora wenyewe hamna watu.
Rais wa roho za watu hajafika lakini uwanja umesha tapika.. Ccm acheni upuuzi. Mna jidhalilisha
Bakuli Ni mhimu Sana kwa ustawi was democracy yetu iliyoporwa na majangiri flani hiviMwisho wasiku kura ndo zitaongea kutoroka si inshu sana, vipi mkuu mtapitisha mabakuli?
Hebu leta picha iliyopigwa kwa juu tuone nyomi? Mwaka huu mbona picha hamtaki kupiga tokea juu kama 2015 wakati wa Lowassa tuone nyomiii???!
Wewe bwana usituchanganye mimi mwenyewe nipo ofisini na nilitoka kidogo kwenye ofisi nyingine ya Serikali na shughuli zinaendelea kama kawaida. Nilikuwa mjini kati mpaka saa Saba hakukuwa na shamrashamra zozote, kidogo kuanzia saa nane hivi ndio watu wameanza kujitokeza kwenda eneo la tukio. Ndio nasema nina wasiwasi na uraia wako.Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi
Ni kweli kuliko kujaza wasanii wanapuyanga mwanzo mwisho mtu anashindwa hata kusikiliza sera anaishia kusikiliza manyimbo tuWanatakiwa wasikilize sera Halafu waamue
Hebu leta picha ilipigwa kwa juu tuone nyomi? Mwaka huu mbona picha hamtaki kupiga tokea juu kama 2015 wakati wa Lowassa tuone nyomiii???!
HILO NI BASI?Mkuu wanaccm hawajawahi kuwa na akili,yaani miaka yote mitano wafanye siasa wao ,watishe watu wao,wabebe watu kwenye malori harafu eti wanajilinganisha na Chadema,shame
Nenda utujulishe nawe hapoWatu wameitika?
Tunakushukuru kwa kuchungulia kidogo mkutano wa Rais MtarajiwaWewe bwana usituchanganye mimi mwenyewe nipo ofisini na nilitoka kidogo kwenye ofisi nyingine ya Serikali na shughuli zinaendelea kama kawaida. Nilikuwa mjini kati mpaka saa Saba hakukuwa na shamrashamra zozote, kidogo kuanzia saa nane hivi ndio watu wameanza kujitokeza kwenda eneo la tukio. Ndio nasema nina wasiwasi na uraia wako.
Na mshindani wetu msaliti Lissu yeye ni kutueleza tu jinsi risasi 16 zilivyoingia mwilini mwake sijui alitaka ziingie wapi?Ni kweli kuliko kujaza wasanii wanapuyanga mwanzo mwisho mtu anashindwa hata kusikiliza sera anaishia kusikiliza manyimbo tu