Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Hata PA kuweka mguu Sioni
 
Jamani Tundu Lissu ananenepa sana. Apunguze kula. Au mnasemaje makamanda?
 
Mwenye picha jamani aweke, nilipo hata kunyanyua simu nashindwa, watu ni wengi mno
 
Video hii hapa
 

Attachments

  • ARUSHA hiyo Asantee ( 422 X 750 ).mp4
    1.4 MB
Wakuu leo mbona Bavicha taifa chanel ya kustream hawapo live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…