Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Mbona mikutano yenu mnafanyia vichochoroni sikuhizi? shida nini?Jifurahisheni huko kwwnye Magroup yenu ya Kijinga ya Chamwino, mtazaa mwaka huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mikutano yenu mnafanyia vichochoroni sikuhizi? shida nini?Jifurahisheni huko kwwnye Magroup yenu ya Kijinga ya Chamwino, mtazaa mwaka huu
zikipigwa za juu mnakuja na kauli kuwa zimeunganishwa, zikipigwa za kawaida mnataka za juu. Tuwaeleweje sasa.Piga picha za juu tuone. Hamna Drone tuwaazime?
Kutetea wizi na ufisadi wa ccmKosa lake nini mtoa mada?
Wacha uongo MZUSHI WEWE!
Uzandiki na fitina vitakusaidia nini hapa duniani?Chadema chini ya mgombea lisu, mwaka huu inaenda kupata aibu ya kura kiduchu, ambayo haijawahi kutokea toka ulimwengu kuumbwa! Lazima washike mkia!
Bado idadi ya watu haifikii ya Dr. Slaa na mzee Lowasa
Tunakushukuru kwa kufuatilia Rais MpyaHii video tumeshaiona humu na kule twitter kwa bulaya.
Jaribuni kuwa na reporters wengi ambao watatuma video nyingi na picha nyingi.
Hata pepsi inapendwa ila inatangazwa sana
Acha wivu basi JaneJamani Tundu Lissu ananenepa sana. Apunguze kula. Au mnasemaje makamanda?
Tunakushukuru kwa kufuatilia Rais Mpya
Hawaogopi kuambiwa ndege imeeksipaya muda wake wa matumizi!Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi
View attachment 1553923
UPDATES :
View attachment 1554103View attachment 1554104View attachment 1554105
View attachment 1554315
UPDATE 2
Video ya nyomi hii hapa
Huo uongo inabidi utubu kabla ya jua kuzamaHakuna watu duu inashangaza ni kweli hii Arusha au mji mwingine
Mbona kama uko na frustration Fulani hivi?? Shida ni nini??Nina ondoka sasa hivi kutoka Shingatini, Mwanga kwenda Arusha nikasikie mwenyewe, maana safari hii inawezekana bakuli lisijae kwa hiyo hatuto tembelewa Upareni. Ila naheshimu sana mapenzi yako kwa Chadema, mimi kuanzia 1994 kufika 2016 nikapumzika miaka 17. Ila poleni safari hii.
Simba na AFC wanacheza uwanja ukiwa tupu nahisi wameona bure ni gharama sanaMakamanda saa 16:30 hii bado picha na link hamna kitu, inabidi tukimaliza huu uchaguzi tumfukuze Makene, ameshindwa kazi.
Ila picha wakati mabakuli yanapita tutazipokea hata baadaye, CDM wamechukua nafasi ya Utopolo FC kupitisha mabakuli 😁
Aibu, nimeondoka watu kibao speaker mbovu
Kwenda mwana kwenda, spika zungekuwa mbovu zisingekuwa hapo sema tatizo lipo kwenye connection OVERAibu, nimeondoka watu kibao speaker mbovu