Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Cha kushangaza ni kwamba pamoja na Jiwe kufanya siasa mwenyewe kwa miaka mitano huku akiwanyanyasa na kuwazuia Wapinzani kufanya shughuli zao za kisiasa bado Eapinzani wanaaminika kwa walio wengi hapa nchini. Hapa kuna la kujifunza kwa Watawala ktk kufuata Sheria na kuilinda Katiba ya nchi si vinginevyo.
 
Hii video tumeshaiona humu na kule twitter kwa bulaya.
Jaribuni kuwa na reporters wengi ambao watatuma video nyingi na picha nyingi.
Hata pepsi inapendwa ila inatangazwa sana
Tunakushukuru kwa kufuatilia Rais Mpya
 
Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi



UPDATE 2
Video ya nyomi hii hapa
Hawaogopi kuambiwa ndege imeeksipaya muda wake wa matumizi!
 
Nina ondoka sasa hivi kutoka Shingatini, Mwanga kwenda Arusha nikasikie mwenyewe, maana safari hii inawezekana bakuli lisijae kwa hiyo hatuto tembelewa Upareni. Ila naheshimu sana mapenzi yako kwa Chadema, mimi kuanzia 1994 kufika 2016 nikapumzika miaka 17. Ila poleni safari hii.
Mbona kama uko na frustration Fulani hivi?? Shida ni nini??
 
Makamanda saa 16:30 hii bado picha na link hamna kitu, inabidi tukimaliza huu uchaguzi tumfukuze Makene, ameshindwa kazi.
Ila picha wakati mabakuli yanapita tutazipokea hata baadaye, CDM wamechukua nafasi ya Utopolo FC kupitisha mabakuli 😁
Simba na AFC wanacheza uwanja ukiwa tupu nahisi wameona bure ni gharama sana
 
Back
Top Bottom