Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Hata PA kuweka mguu SioniMpiga picha wewe Ni mjinga badala ya kupiga picha iliyo na coverage kubwa wewe unapiga visogo vya watu,, jaribu kujiheshimu Basi na kuheshimu sura za watu.
Piga picha kwa angle ya juu ambayo siyo rahis mtu kufahamika siyo hiyo unapiga watu halafu unawaleta hapa Jf.