Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Cha kushangaza ni kwamba pamoja na Jiwe kufanya siasa mwenyewe kwa miaka mitano huku akiwanyanyasa na kuwazuia Wapinzani kufanya shughuli zao za kisiasa bado Eapinzani wanaaminika kwa walio wengi hapa nchini. Hapa kuna la kujifunza kwa Watawala ktk kufuata Sheria na kuilinda Katiba ya nchi si vinginevyo.
 
Hii video tumeshaiona humu na kule twitter kwa bulaya.
Jaribuni kuwa na reporters wengi ambao watatuma video nyingi na picha nyingi.
Hata pepsi inapendwa ila inatangazwa sana
Tunakushukuru kwa kufuatilia Rais Mpya
 
Hawaogopi kuambiwa ndege imeeksipaya muda wake wa matumizi!
 
Mbona kama uko na frustration Fulani hivi?? Shida ni nini??
 
Makamanda saa 16:30 hii bado picha na link hamna kitu, inabidi tukimaliza huu uchaguzi tumfukuze Makene, ameshindwa kazi.
Ila picha wakati mabakuli yanapita tutazipokea hata baadaye, CDM wamechukua nafasi ya Utopolo FC kupitisha mabakuli 😁
Simba na AFC wanacheza uwanja ukiwa tupu nahisi wameona bure ni gharama sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…