Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Yaani upo juu ya gari la polisi una rekodi video ya uongo kabisa.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ukiona KK ya halmashauri kuu ya taifa imekutana mara baada tu ya siku mbili toka muda wa kampeni kuzinduliwa, basi ujue woga umekwishakuwakumba, wananchi hawapo tena upande wa muovu Sauli bali imewapendeza kukaa upande Daudi mtumishi mwema wa Mungu.

Wanetambua ya kwamba, ili haki na amani vikatapate kutamalaki, na ili Uhuru na maendeleo ya watu vikapate kuthibitika, basi ni vyema wakala wa Ibilisi apumzishwe na nira zake zikapate kulegezwa ktk fikra za Watanzania.
 
Hao wafanyakazi waliotoroka kazini si wangechukua tuu likizo?? baada ya muda utawasikia hapa wakilialia kama wale waliotoroka kwenda kugombea nafasi mbalimbali
 
hivj zile drone TCRA hawakuwarudishia wamiliki!!!!

naanza kuona umuhimu wake sasa kwenye matukio kama haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…