uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Kwenda mwana kwenda, spika zungekuwa mbovu zisingekuwa hapo sema tatizo lipo kwenye connection OVER
Ni sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda mwana kwenda, spika zungekuwa mbovu zisingekuwa hapo sema tatizo lipo kwenye connection OVER
Mimi hapa, shida yako?Ni nani ametengeneza jukwaa hili?View attachment 1554431
Nenda mbele pembeni simama juu piga picha ya umati unaofitilia kwa karibu sera makini za chama Dume.Mwenye picha jamani aweke, nilipo hata kunyanyua simu nashindwa, watu ni wengi mno
NA APUUZWE!Huyo mama huwa anawashwa sana, hana hoja kila kukicha mara analalamika michango ya cdm mara jukwaa, sijajua anashida gani
Bado idadi ya watu haifikii ya Dr. Slaa na mzee Lowasa
Anajua hilo..... Watz hawataki madege wanataka maendeleo yaoRais Magufuli pole yako. Unaondoka ikulu kiulainiiiii
Mungu mbariki Lissu! Amekuja kutuondolea mkoloni mweusi!Mungu ibariki Chadema
Hapo utakuwa umetutapeli sasa.....Mkuu agiza mchemsho nakuja kulipa
Haya bwana mpiga picha Ni kiwete anapiga picha kala chali, aerial view hamna tenaUwanja wa relini Arusha pana amani na utulivu, tunangoja kusikiliza sera halafu tutaamua!
2:05 Jukwaa linafungwa......
View attachment 1554205
View attachment 1554245
View attachment 1554274
View attachment 1554279
😆 watu mna visaAibu, nimeondoka watu kibao speaker mbovu
Huna sifa za kikamanda.Aibu, nimeondoka watu kibao speaker mbovu