technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Huna sifa za kikamanda.
Jifarijini na miujizaaa, hatuko tayariii kutoa uraisi wa kifuta machoziiii.Neema inakuja
Msisahau kutuwekea link makamanda tuone nyomi yenu 😁 ...
Wapiga picha wanalalamika mnawalazimisha kuchuchumaa wakitaka kupiga picha za mikutano yenu🤣
Powerful one...ngoja wale wa kukurupuka waje sasa sijui na hapa watasemaje?Salamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
Cdm choka mbaya sanaa. Wameshindwa kuweka hata kavideo.
Na hapo hakuna cha lori au punda!
Niza 2015 hilo zulia jekundu halikuwepo leo wacha uongoPowerful one...ngoja wale wa kukurupuka waje sasa sijui na hapa watasemaje?
Mbona mnateseka sana..!!!?Niza 2015 hilo zulia jekundu halikuwepo leo wacha uongo
Bmkubwa unahangaika sana, tuliza wenge basi japo kwa dk kadhaa sindano ipenye tunduni!Niza 2015 hilo zulia jekundu halikuwepo leo wacha uongo
Umejuaje bwashee?!Na hapo hakuna cha lori au punda!
Eti hiki ndio chama cha kushindana na ccm. Cdm pumzi imekata mapema sana.Video na picha zipo kwa fundi maiko, subiri utapata baadaye.
Ila zile za mabakuli hatutumi tena. 😁
Powerful one...ngoja wale wa kukurupuka waje sasa sijui na hapa watasemaje?