Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Sasa hivi mtupe heshima yetu msipotupa tunaichukua kwa nguvu! Hatuwezi kuchekeanachekeana safari hii.
Lema kakodi Lisu amsaidie kamlipia Hadi ndege Lema anatupa mateke ya mwisho mwisho Arusha kabla kuondoka
Gharama zote za kubeba Watu kwa kuwapa nauli na bodaboda kalipa Lema na kuwapa posho wahudhuriaji

Hakuna Mkutano unemgharimu Lema Kama huu wa leo
 
Mara nyingi nawakubali sana wanakaskazini wanajitambua na hawanunuliki kijinga, kuna maeneo bia wanaisikiaga kwenye radio na ndio wanaongozaga kuichagua mbogamboga kwa ofa ya vibia viwili vitatu halafu wanateseka miaka 5 na wakirudi tena wanawapa tena, huku huduma muhimu za kijamii wanazisikiaga zikiimbwa tbccm, watoto wao wanakaa chini shuleni, what a madness???
 
Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.

Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi

UPDATE 2
Video ya nyomi hii hapa
mkuu kuna watu wanabeza kwamba lissu dar hakupata watu alihali mikutano yake aliigawanya mara tatu , tofauti na 2015 ambapo uzinduzi ulifanyika jangwani na nilikueopo sasa unajiuliza kama chadema wangeamua fanya uzinduzi jangwani kama 2015 kwa watu hao ambao amewafanyia mikutano sehem tatu tofauti dar je pangetosha , mwenye jibu anijibu na anikosoe pia
 
Kwamba hao wote wameletwa na boda boda ! you cant be serious man
Sio walikpwa posho na nauli kufika mkutanoni.Hao bodaboda unaowaona wamelipwa na Lema sio Lisu

Halafu Lisu kwenye sera anasema atapunguza misafara ya Raisi ona Happ pikipiki zikizoko kwenye msafara wake Ni nyingi kuliko za msafara wa Raisi Magufuli

Lisu kwa fix na uongo hajambo
 
Mataga mwaka huu mpaka yatage japo mayai ya hata!
 
Lema kakodi Lisu amsaidie kamlipia Hadi ndege Lema anatupa mateke ya mwisho mwisho Arusha kabla kuondoka
Gharama zote za kubeba Watu kwa kuwapa nauli na bodaboda kalipa Lema na kuwapa posho wahudhuriaji

Hakuna Mkutano unemgharimu Lema Kama huu wa leo

Hata ccm uwa wanakodi wasanii zaid ya 50 that's means kampen ni gharama so hakuna shida
 
Huu uzi utapata wachangiaji wengi[emoji23][emoji23][emoji23] ni kama Chadema imefufuka
Hivi ni mimi tu nnaeona kawaida sana.
 
Back
Top Bottom