YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Lema kakodi Lisu amsaidie kamlipia Hadi ndege Lema anatupa mateke ya mwisho mwisho Arusha kabla kuondokaSasa hivi mtupe heshima yetu msipotupa tunaichukua kwa nguvu! Hatuwezi kuchekeanachekeana safari hii.
Gharama zote za kubeba Watu kwa kuwapa nauli na bodaboda kalipa Lema na kuwapa posho wahudhuriaji
Hakuna Mkutano unemgharimu Lema Kama huu wa leo