Lema kakodi Lisu amsaidie kamlipia Hadi ndege Lema anatupa mateke ya mwisho mwisho Arusha kabla kuondokaSasa hivi mtupe heshima yetu msipotupa tunaichukua kwa nguvu! Hatuwezi kuchekeanachekeana safari hii.
Wala DiamondNa hapo hakuna cha lori au punda!
Mkuu tupo MMU, weka mafile yako secret hapa utupe faida. Nakuaminia.Hii figisu ya kuandaa tamasha la wasanii bado haijalipotiwa kwa bwn Amstardam!?
au tusuburi kesho.....
hii sio kabisa ni ukiukwaji
mkuu kuna watu wanabeza kwamba lissu dar hakupata watu alihali mikutano yake aliigawanya mara tatu , tofauti na 2015 ambapo uzinduzi ulifanyika jangwani na nilikueopo sasa unajiuliza kama chadema wangeamua fanya uzinduzi jangwani kama 2015 kwa watu hao ambao amewafanyia mikutano sehem tatu tofauti dar je pangetosha , mwenye jibu anijibu na anikosoe piaHii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi
View attachment 1553923
UPDATES :
View attachment 1554103View attachment 1554104View attachment 1554105
View attachment 1554315
UPDATE 2
Video ya nyomi hii hapa
Sio walikpwa posho na nauli kufika mkutanoni.Hao bodaboda unaowaona wamelipwa na Lema sio LisuKwamba hao wote wameletwa na boda boda ! you cant be serious man
AHHH MSHIKAJI HAPO NI KAMA UMEMPA NGUMI ZA USO AKSEH, NA KIHEREHERE CHAKE KAWA MPOLE KAMA PIRTONSisi kazi yetu ni kukupa habari tu baasi, kuhesabu kura au sijui mabakuli havituhusu kwa sasa
Na hapo hakuna cha lori au punda!
Sio walikpwa posho na nauli kufika mkutanoni.Hao bodaboda unaowaona wamelipwa na Lema sio Lisu
Halafu Lisu kwenye sera anasema atapunguza misafara ya Raisi ona Happ pikipiki zikizoko kwenye msafara wake Ni nyingi kuliko za msafara wa Raisi Magufuli
Lisu kwa fix na uongo hajambo
Shkamooni Arusha nasema Tena shkamooni Arusha jamaaanii Arusha shkamooni x 10000000Salamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
Hizo bodaboda za kukodi? Hongereni bodaboda kupiga pesa ya kiinua mgongo Cha lema
Lema kakodi Lisu amsaidie kamlipia Hadi ndege Lema anatupa mateke ya mwisho mwisho Arusha kabla kuondoka
Gharama zote za kubeba Watu kwa kuwapa nauli na bodaboda kalipa Lema na kuwapa posho wahudhuriaji
Hakuna Mkutano unemgharimu Lema Kama huu wa leo
mkuu kama sioni do moto wa kampeni ndo unaanza sasaSalamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
haya bibi mdogo lete za kwakoNiza 2015 hilo zulia jekundu halikuwepo leo wacha uongo
[/QUOTE]Kwa hiyo tukusaidiaje?