Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Simba na AFC filia kwa mbali shhertuxdfr type! Mnakubali uzandiki wa demokrasia. Toka leo nahama Simbe!
 
Inabidi mumchunguze hizo pesa zote kazitoa wapi.?!

Maana akisikia mkuu wako atawaadabisha wakaguzi wa mahesabu kitengoni.
 
Hizo picha ni uongo. Ukiingia YouTube channel ya SAUTI KUU TV, wanaonesha live watu ni wachache mno
 
Nimehudhuria mkutano wa leo wa Arusha mimi mwenyewe bila kuhadithiwa. Mkutano una wahudhuriaji wa kutosha kuonyesha kuwa Chadema badi ipo hai.

CCM watakapo fanya mkutano wao tutaweza mara moja kujua wapi tunaelekea. Nimefurahia kuwa upinzani bado upo kwa hiyo ni vizuri CCM ina kazi ya kufanya japo kwa Arusha.
 
Naona unabwabwaja tu kufurahisha korido za Lumumba,vipi ndejembi na Mavunde hapo juzi..maana mgao ulikuwa si mchezo!
 
Huko watu wengi wamesoma na uelewa wao wa mambo ni mkubwa tofauti na sehemu zingine.lakini bado tutawapiga tu na tutashinda kwa kishindo.
 
Hakuna watu acha kuongopa
 
Hizo bodaboda za kukodi? Hongereni bodaboda kupiga pesa ya kiinua mgongo Cha lema
Kwa mzalendo halisi kujitolea ni Jambo la hiari na hahitaji malipo yoyote na yupo tayari hats kuchangia gharama kuona Mambo yenye manufaa kwa taifa yanafanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…