Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtamsababishia stroke baba wa watu nyie watu.... mnaweza kuta figisu ikapigwa hadi Lema akaondolewa kwenye kinyang'anyiro!!Salamu zimfikie popote alipo View attachment 1554447View attachment 1554448View attachment 1554449View attachment 1554450
Powerful one...ngoja wale wa kukurupuka waje sasa sijui na hapa watasemaje?
Angalie picha vizuri alafu YouTube ziko live usidanganyikeNa hapo hakuna cha lori au punda!
Wewe nani,!!?magufuli hatukutakiiiiiiiiiiiiiii
Inabidi mumchunguze hizo pesa zote kazitoa wapi.?!Lema kakodi Lisu amsaidie kamlipia Hadi ndege Lema anatupa mateke ya mwisho mwisho Arusha kabla kuondoka
Gharama zote za kubeba Watu kwa kuwapa nauli na bodaboda kalipa Lema na kuwapa posho wahudhuriaji
Hakuna Mkutano unemgharimu Lema Kama huu wa leo
Naona unabwabwaja tu kufurahisha korido za Lumumba,vipi ndejembi na Mavunde hapo juzi..maana mgao ulikuwa si mchezo!Sio walikpwa posho na nauli kufika mkutanoni.Hao bodaboda unaowaona wamelipwa na Lema sio Lisu
Halafu Lisu kwenye sera anasema atapunguza misafara ya Raisi ona Happ pikipiki zikizoko kwenye msafara wake Ni nyingi kuliko za msafara wa Raisi Magufuli
Lisu kwa fix na uongo hajambo
Hakuna watu acha kuongopaNimehudhuria mkutano wa leo wa Arusha mimi mwenyewe bila kuhadithiwa. Mkutano una wahudhuriaji wa kutosha kuonyesha kuwa Chadema badi ipo hai.
CCM watakapo fanya mkutano wao tutaweza mara moja kujua wapi tunaelekea. Nimefurahia kuwa upinzani bado upo kwa hiyo ni vizuri CCM ina kazi ya kufanya japo kwa Arusha.
Wewe ndio kale kadada ka fb kanaitwa nani sijui Bitrice bila shaka ndio weweYaani hakuna watu kabisa. Hii ni aibu kwa chadema
Hakuna watu acha kuongopa
Kwa mzalendo halisi kujitolea ni Jambo la hiari na hahitaji malipo yoyote na yupo tayari hats kuchangia gharama kuona Mambo yenye manufaa kwa taifa yanafanyika.Hizo bodaboda za kukodi? Hongereni bodaboda kupiga pesa ya kiinua mgongo Cha lema
Bravo! Arsha , Moshi! Evolution at its apex! kwingie still undergoing evolutionwatu wa kaskazini wanaakili sana heshima kwao