Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

I think weakness ya Magufuli ni Mandege, I really though he is done with mandege this term, and will invest in people next term, the fact that he mentioned he will buy more ndeges in the next term, makes you think other things that have direct impact on his people are not priority to him, upinzani tumieni simple language wananchi waelewe hili
 
Video quality mbovu kama bado tupo mwaka 47...
Kwa hiyo hii video ndio imeshapita kwa fundi Maiko mmeitoa ?
Weka na picha za mabakuli basi 😁
Hebu na wewe tuwekee picha tuone jinsi kodi za watanzania zinavyochezewa.... Ila jua kuwa mtahukumiwa kutokana na mnayoyafanya.. Muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Ninavyo amini,awe no mtu was Morogoro ama kwingineko,popote Tanzania anayo haki za msi ngi kumnyima haki hizo kwa kisingizio ,kuwa sii mzalendo mtu huyo atakapo baini Hilo,huyo hawezi kuendelea kuwa upande wa.ko,kumbuka dunia Kijiji Leo sii Jana.
 
Yeah lakini hawajaenda kwenye upuuzi wenu! Pumbavu
Ndiyo mnategemea hao wapigakura toka Arusha eeh! Lakini subirini Chama Dume CCM ikija fanya kampeni hapo Arusha ndiyo mtajua kama Maharage nayo ni Mboga!!
 
Mkuu kwa nyomii hii napigaje kwa mfano. Yan nimefunikwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila chadema mnajua kujifariji sana.. huko Kwenye jukwaa la michezo Kuna nyuzi kibao mmeanzisha heti mnailaumu Simba imewafanya mkose watu kwenye mkutano wenu kwa kuweka free entry halafu hapa unajifariji heti huoni pakuweka mguu labda Kama Ni mguu wa Bata..
 
Ndiyo mnategemea hao wapigakura toka Arusha eeh! Lakini subirini Chama Dume CCM ikija fanya kampeni hapo Arusha ndiyo mtajua kama Maharage nayo ni Mboga!!
Yeah mtabeba kwa malori, hili liko wazi. Nina canter yangu hapo Arusha mmeshaikodisha. Nakupa hadi registration yake....
 
Kwa mujibu wa picha, nawapongeza Chadema kwa kuimiza wafuasi wao kukaa kwa mtindo wa 'social distance' wakati wa mkutano wao huo wa kampeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…