Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Kulikua na wasanii wangapiHuku Magufuli asipoteze muda kabisa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikua na wasanii wangapiHuku Magufuli asipoteze muda kabisa..
Tuliza taco sindano ikuingie.Niza 2015 hilo zulia jekundu halikuwepo leo wacha uongo
Yeah lakini hawajaenda kwenye upuuzi wenu! PumbavuWatu wamelewa mirungi na mbege wataweza wapi kuangalia soka wacha wakasikeie malele ya tundu
Aisee bora makelele ya TAL kuliko stori za jiwe, kila siku ni hizo hizo!Watu wamelewa mirungi na mbege wataweza wapi kuangalia soka wacha wakasikeie malele ya tundu
Hebu na wewe tuwekee picha tuone jinsi kodi za watanzania zinavyochezewa.... Ila jua kuwa mtahukumiwa kutokana na mnayoyafanya.. Muda ni mwalimu mzuri sana.Video quality mbovu kama bado tupo mwaka 47...
Kwa hiyo hii video ndio imeshapita kwa fundi Maiko mmeitoa ?
Weka na picha za mabakuli basi 😁
Tangu nimepata ajira kwa mchaga nimejifunza kwamba hawa watu ni mfano wa kuigwa.watu wa kaskazini wanaakili sana heshima kwao
Ninavyo amini,awe no mtu was Morogoro ama kwingineko,popote Tanzania anayo haki za msi ngi kumnyima haki hizo kwa kisingizio ,kuwa sii mzalendo mtu huyo atakapo baini Hilo,huyo hawezi kuendelea kuwa upande wa.ko,kumbuka dunia Kijiji Leo sii Jana.Na hilo ndio kosa kubwa mnafanya, dharau na kejeli kwa wengine, lkn mnasahau kwamba Wachaga hawawezi kutoa raisi wa Tanzania hata wakiipigia kura chadema 100%, hivyo hamuisaidii chadema kwani hao wa Morogoro mnaowakejeli na kuwadharau watawaadhibu kwenye sanduku la kura na kuishia kulia kuibiwa kura.
Low IQ!
Ndiyo mnategemea hao wapigakura toka Arusha eeh! Lakini subirini Chama Dume CCM ikija fanya kampeni hapo Arusha ndiyo mtajua kama Maharage nayo ni Mboga!!Yeah lakini hawajaenda kwenye upuuzi wenu! Pumbavu
safari hii anang'oka mapema sana
Sizitaki mbichi hizi..Watu wamelewa mirungi na mbege wataweza wapi kuangalia soka wacha wakasikeie malele ya tundu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila chadema mnajua kujifariji sana.. huko Kwenye jukwaa la michezo Kuna nyuzi kibao mmeanzisha heti mnailaumu Simba imewafanya mkose watu kwenye mkutano wenu kwa kuweka free entry halafu hapa unajifariji heti huoni pakuweka mguu labda Kama Ni mguu wa Bata..Mkuu kwa nyomii hii napigaje kwa mfano. Yan nimefunikwa
Yeah mtabeba kwa malori, hili liko wazi. Nina canter yangu hapo Arusha mmeshaikodisha. Nakupa hadi registration yake....Ndiyo mnategemea hao wapigakura toka Arusha eeh! Lakini subirini Chama Dume CCM ikija fanya kampeni hapo Arusha ndiyo mtajua kama Maharage nayo ni Mboga!!
Endelea kumchekea fisi wakati wanakaribia zizi.Utopolo tupu. Watu wachache kweli
Kulikua na wasanii wangapi
Wewe Bibi inaonesha haujapata mtu wa kukukuna vizuri unawashwa sana.Yaani hakuna watu kabisa. Hii ni aibu kwa chadema
Kwa nini msipande hata kwenye mti ili mchukuwe picha kwa wote?Uwanja wa relini Arusha pana amani na utulivu, tunangoja kusikiliza sera halafu tutaamua!
2:05 Jukwaa linafungwa......
View attachment 1554205
View attachment 1554245
View attachment 1554274
View attachment 1554279