Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Sintoshangaa kusikia Samia Suluhu anacheza Rusha roho huku kajifunga khanga moko ili watu wajazane kumshangaa ili Magufuli afikiri anapendwa yeye
 
DC wa meru naona akielekea maeneo ya viwanja vya relini arusha,,Ni mwalikwa au katoroka kazini?

DC atakuwa kazini maana ni M/Kiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya! Kama kuna mwananchi atakuwa anahitaji msaada wa DC Ni wazi ataukosa.....!!!Kosa la Nani??
 
Ila kusema tu ukweli Chadema wakipata hata asilimia 5 ya kura watakuwa wamejitahidi sana..

Kwa hesabu za wizi wa Kura kupitia NECCM itakuwa 5% Lakini kama ni Uchaguzi HURU na Haki kwa kutumia NEC HURU ya Uchaguzi ni wazi CCM ndiye mwene 5%🤣🤣!
 
Hawachelewi kulalamika kua mke wa Makonda kajifungua mapacha ili kuwafanya watu wafuatilie habari za Makonda kuliko za Lisu
 
Mchana wa leo Agosti 31, 2020 mgombea urais wa JMT kupitia @ChademaTz Mhe. @Tund ( 451 X 640 ).jpg
 
Back
Top Bottom