Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
Wapuuzi hao...washamba wa karomije fedha za umma zingine mumekopa mpaka mimba zinadaiwa bado unasema bombadier zenu nyie washamba vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapuuzi hao...washamba wa karomije fedha za umma zingine mumekopa mpaka mimba zinadaiwa bado unasema bombadier zenu nyie washamba vipi
Baada ya miaka 5 ya ukimya leo Arusha itazungumza..
Hawezi thubutu leo maana alionjeshwa majuzi...Yule mbwiga anayetuma wahuni kurushia watu mawe safari hii msimchekee mnyoeni nywele zake zote za sehemu za siri kwa kutumia chupa
DC wa meru naona akielekea maeneo ya viwanja vya relini arusha,,Ni mwalikwa au katoroka kazini?
😂😂Nasikia Simba na Yanga watacheza bila bukta ili watu waondoke kwenye Mkutano wa Lissu?
Neema inakuja
Tusije tuka aibika [emoji2][emoji2][emoji2] tena
Arusha hamjawahi kutuangusha
DC atakuwa kazini maana ni M/Kiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya! Kama kuna mwananchi atakuwa anahitaji msaada wa DC Ni wazi ataukosa.....!!!Kosa la Nani??
Sintoshangaa kusikia Samia Suluhu anacheza Rusha roho huku kajifunga khanga moko ili watu wajazane kumshangaa ili Magufuli afikiri anapendwa yeye
Ila kusema tu ukweli Chadema wakipata hata asilimia 5 ya kura watakuwa wamejitahidi sana..
Kamanda habari yakoHawezi thubutu leo maana alionjeshwa majuzi...
Sasa hii ndio ngome ya CDM pako hivi, mkifika Rukwa, Ruvuma na kusini huko hali itakuaje. Lissu ameshashindwa dakika za mwanzoni tu.
Mashine ipo kumbeHii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa habari zaidi
Kutoroka kazini ndio umeona bonge ya kiki hadi uje useme hapa?