Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

Uchaguzi 2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Slaa akionaa hivi anawadharau sanaaaa
Hiyo ni 2010,!
Sasa sijui utalinganisha vipi na hako ka tone alikokusanya Lisu leo.
20200814_164053.jpg
20200814_164156.jpg
20200814_164215.jpg
20200814_164235.jpg
20200814_164132.jpg
 
Mambo ya Lema yanajulikana so ya kitoto, ndugu yetu Gambo ajipange kwelikweli Arusha
Hapa Godbless alipewaga mablessings toka juu... mapenzi telee
 
Ni kwa mwenye UFINYU wa akili tu ndiye anayeweza kuandika ujinga kama huu lakini asijiulize huyo anayejiita KICHAA kama kafanya mengi kwanini ANAHOFIA tume huru? Kwanini ANAHOFIA kura kuhesabiwa hadharani? Za kuambiwa......
We ni kidagaa tu hapo chadema!

Ngoja tukuoneshe wenye chadema yao sasa walioondoka baada ya chama kuuzwa
20200814_164053.jpg
20200814_164156.jpg
20200814_164132.jpg
20200814_164235.jpg
20200814_164215.jpg
 
Umefunga kazi kwa leo! Nimependa statement yako! nadhani Lisu aiseme siku moja, uone watu watakavyolipuka kwa shangwe ya majonzi kukosa elfu tano!
Kwamba wananchi hawana 5,000 ila haohao wananchi inasemekana wana smart phone na wanahela ya kununua bando na kufuatilia mikutano ya kampeni online.
Hivi Ndio vituko vya siasa Za Tanzania.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi nawakubali sana wanakaskazini wanajitambua na hawanunuliki kijinga, kuna maeneo bia wanaisikiaga kwenye radio na ndio wanaongozaga kuichagua mbogamboga kwa ofa ya vibia viwili vitatu halafu wanateseka miaka 5 na wakirudi tena wanawapa tena, huku huduma muhimu za kijamii wanazisikiaga zikiimbwa tbccm, watoto wao wanakaa chini shuleni, what a madness???
Huko kaskazini unakowakubali mlijiuza madiwani na wabunge wangapi? Usiseme vitu bila kuwa na takwimu we nyumbu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom