Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Nauli shilingi 16,000 inaonekana zipo vizuri maana walikuwa na bei ya chini. Busi ya wazawa hiiKwa DAR-TANGA Simba mtoto hana mpinzani kwa sasa na Scania zake mpya, shilingi 16000 tu ndiyo bei yake ya juu. Ndiyo gari inayowahi kufika kuliko zote,
Super championiIna maana humu hamuipendi champion?😀 (Dar-Dom)
hilo balaa 😀 😀 😀 😀Kuna Dubwana moja Coastline lile mpaka PC unachaji..hata uwe na Desktop unawasha unaendelea na pilika zako.
#Kiungo Mchezeshaji....Sijui kama lipo.Kigoma.Tabora
izi gari nilikuwa mteja wao kipindi naenda tanga, gari safi sana hiiKwa DAR-TANGA Simba mtoto hana mpinzani kwa sasa na Scania zake mpya, shilingi 16000 tu ndiyo bei yake ya juu. Ndiyo gari inayowahi kufika kuliko zote,
ABC Upper Class.Mnisaidie Dodoma kuna bus gani lina huduma hilo? (msinitajie shabiby lile la 40,000 itakuwa matumizi mabaya ya pesa).
Tumia njiwa pori mkuu au hata mv malaba sio mbayaMkiamza kujadiri makampuni ya mitumbwi mnishtue jamani
Mkuu stop engine kwenye bus? Mbona hata haisikiki.. jacob isikilize kwa wale wahuni wa TRH na DIAZ..Dar-Mbeya (Classic/Golden Deer/Nganga)
Mpanda-Kigoma (Adventure )
Dar-Korogwe (Burdan Tosha)
Dar-Tanga (Tawaqal/Tashrif)
Tanga-Kipumbwi (Moa Royal Class)
Mwanza-Kigoma (Adventure/Saratoga)
Dar-Songea (Selous/Tavavil)
Vigezo gari iwe:-
1.Terias au itumie busta
2.Seat 2×2
3. Dereva mahiri awe anapiga changedown za kutosha, engine braking kwa Nissan Diesel UD au Scania stop engine/Jacob brake za kutosha kwenye down na njonjo kibao za kuinyumbulisha basi. Sio dereva miguu mizigo kama Lukaku, wakati wa kuchange gear mpaka abiria unasikia brake anakanyaga kama anaua mdudu.
Jake brake na stop engine ni tofauti!Basi za sasa hivi hazina mzuka hata jake brake hazina (hasa mchina)hii haikubaliki yaani coaster iwe nayo basi kubwa haina!
Hatari sana hii ngoma.Super championi
Tatizo la Bongo ni moja tu.Iwe Kampuni ya mabasi ya kutoka mkoa ulipo kwenda mikoa mingine au safari za ndani ya mkoa.
Vigezo viwe:-
- Zipo kampuni mpya zinakimbiza mbaya sana.
- Zipo kampuni za zamani bado zinatesa.
- Achana na zile zinazochechemea
Hii itasaidia memba wanaotarajia kusafiri kufanya uchaguzi sahihi kulingana na bajeti zao.
- Huduma zilotewazo na hayo mabasi
- Upya wa mabasi
- Nauli
Fungukeni wadau.
Ukiachana na nauli elekezi za sumatra nauli bado zipo chini na za ushindani kwa mabasi husika, tufungue macho kwenu basi gani kali?
New Force Ndio wanahio tabia mabasi yao yakichoka wanawauzia kampuni zingine.Tatizo la Bongo ni moja tu.
Kampuni ikiwa mpya inakimbiza. Magari yake yakianza kuchakaa kwa wakati mmoja inakuwa balaa.
Hakuna proper plan ya ku phase-out magari yaliyochoka. Ni breakdown kila siku. Ndiyo kinachompata Darlux kwa sasa.
Vinaanza vikampuni vingine na bus mbili tatu. Yakiwa mapya wanakimbiza. Wape miezi sita au mwaka. Hamna kitu.
Mkuu stop engine zinasikika sana kwenye basi zenye injini za Nissan Diesel UD kama Adventure, Saratoga,Moa na Injini za Isuzu.Mkuu stop engine kwenye bus? Mbona hata haisikiki.. jacob isikilize kwa wale wahuni wa TRH na DIAZ..
Kuna sunlong ya galaxy inaunguruma vizuri sana, ndiyo bus pekee hiyo njia inanikosha kwa muungurumo!
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Jake brake hii kwenye gari za mmarekani kama Freight liner au Peterbit ni hatari sana huo mlio wake.Jake brake na stop engine ni tofauti!
Hata hizo scania zenu hazina Jake brake. Zina stop engine inayosikika kwa mbali na isiyo na mzuka..
only Americans can tremble my @ss with jake brake
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Mlima ndororo n hatareeeeeh san mweeeeh naukumbuka san huo. Kuelekea mahengeMkuu stop engine zinasikika sana kwenye basi zenye injini za Nissan Diesel UD kama Adventure, Saratoga,Moa na Injini za Isuzu.
Hata kwenye busi zilizofungwa injini ya Scania. Naikumbuka Al Saedy"Aguero" ya Dar-Mahenge stop engine unazisikia vyema gari ikiwa inashuka miteremko ya mlima Nyani na Ndororo.
Hata Zhongtong za Golden Deer ukitulia unaweza sikia retarder gari ikiwa inashuka kwenye mteremko mkali.
Moja ya magari bora, na hivi sasa sijaona mpinzani wakeizi gari nilikuwa mteja wao kipindi naenda tanga, gari safi sana hii
Hiyo ya juu mbona kuna hadi la 14000 ila ndiyo yale si mazuri, ila ukitaka basi lenye hadhi ndiyo sh 16000 usb charge zipoNauli shilingi 16,000 inaonekana zipo vizuri maana walikuwa na bei ya chini. Busi ya wazawa hii