Kampuni gani ya Mabasi inayobamba mkoani kwako (Ruti unazosafiri mara nyingi)?

saizi hazipiti chalinze bali njia ya mtera
 
Hakuna similarities hii ni red huku ni green ,je unafamu golden dragon bongo zinakuja na rangi moja (white) so ukiamua unaweza acha white or uka change
ngoja ntakuletea picha ya frester ya New force
 
Mkuu Basi la tanga Maud liko vizuri sana.baba lao a.ka. mwakinyo ni Basi lenye utulivu wa hali ya juu
 

Attachments

  • IMG-20200611-WA0006.jpg
    72.9 KB · Views: 4
kuna kitu inaitwa frester Dar kahama ni shida Dodoma ukizubaa inakuacha njiani ni shida
 
Mza - Mbeya Kuna Mnyama Kapricon Anaamsha Kinyama Isamilo, Premier & Fikoshi Hoi
 
Basi tukubaliane kwamba wamenunua mabasi used ya NF

Mkuu we ni mbishi sana hizi ni model mpya ya zhongtong na tangu lini new ameuza new model ya hizo basi kama used maana ni series ya DPK

Bus used alizonunua ni za mohamed trans ziko uko kanda ya ziwa
 
300 km ni kutoka wapi hadi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…